• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

Posted on: September 22nd, 2025

Walimu wa shule za msingi na sekondari zinazotekeleza program yaa ECO-SCHOOLS wametakiwa kutumia fursa ya ziara ya kutembelea shule zote zinazotekeleza program hiyo kujifunza na kubadilishana uzoefu wa namna ya utekelezaji wa program hiyo kwa lengo la kujifunza mbinu mpya zenye tija ili kupata mafanikio na kuleta tija katika shule zao.

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndg. Gilbert Ngailo wakati wa mapokezi wa timu ya walimu wa shule zinazotekeleza program ya ECO-SCHOOLS kutoka Halmashauri tatu za Mkoa wa Morogoro na Halmashauri ya Mufindi wakiwa ni wenyeji ambapo amewataka walimu hao kutumia nafasi hiyo kujifunza zaidi ili kuongeza uelewa na kubadilishana uzoefu kupitia shule walizotembelea na watakazotembelea hususani katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Akijivunia matunda yatokanayo na utekelezaji wa program ya ECO-SCHOOLS Afisa Elimu Sekondari Ndg. Daniel Mapilya amesema program hiyo imetekelezeka na kuzaa matunda makubwa kwani shule zote zenye program hiyo zimekuwa mfano wa kuigwa katika utunzaji wa mazingira na uzalishaji wa chakula katika mazingira yao kwa shule ambazo hazina mradi, huku akitoa ombi kwa uongozi wa program hiyo kuongeza wigo wa uwezeshaji wa utekelezaji wa program hiyo hususani katika Halmashauri ya Mufindi ili ziweze kuzaa matunda na kuwa mfano wa kuigwa na Halmashauri nyingine.

Akieleza lengo la ziara hiyo na namna program inavyofanya kazi katika sekta ya elimu Afisa Program ya ECO-SCHOOLS Ndg.Francis Mkumbi toka shirika la TFCG amesema program hiyo inafanya kazi na Halmashauri nne ikiwemo Mufindi, Mvomero, Morogoro Vijijini na Kilosa ambapo lengo la ziara ni kuona namna shule zinavyotekeleza program hiyo katika kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi lakini pia mbinu za kuongeza uzalishaji wa chakula shuleni kwa kutumia rasilimali mbalimbali.

Kwa upande wake mratibu wa program ya ECO-SCHOOL kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bi. Scola Sanga amesema program hiyo ilianza kufanya  kazi toka 2017 hadi sasa ikiwa inafanya kazi ya kujali mazingira na elimu bora kwa maendeleo endelevu ikitekelezwa kwa shule za sekondari na msingi ambapo upande wa elimu msingi inafanya kazi katika shule ya Mhemi, Ifwagi na Kitelewasi huku upande wa Sekondari inahusisha shule ya Mdabulo na Igowole.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.