• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

Posted on: July 14th, 2025

Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imeendelea kuweka mikakati mbalimbali katika kuhakikisha inapunguza kwa kiasi kikubwa idadi ya vifo vya uzazi na watoto wachanga ambapo miongoni mwa mikakati hiyo ni kuwakutanisha wataalam wa afya hususani wanaotoa huduma kwa kinamama na watoto lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya kutoa huduma na ushauri kwa kinamama wajawazito na watoto kwa kipindi chote cha uzazi.

Hayo yamebainishwa na Katibu wa Afya Bw. Ernest Lumeya kwa niaba ya Mganga mkuu wakati wa ufunguzi wa kikao hicho ambapo amesema kuwa kikao hicho cha siku moja kinatarajiwa kuwa na tija kwa wataalam ikiwemo kukumbushana kuzitambua dalili za hatari kwa kinamama wajawazito, zinazoweza kuepukika kwa kuchukua hatua stahiki kwa kinamama na watoto ili kuepuka vifo vinavyoweza kuepukika.

Mratibu wa huduma za Afya ya uzazi na mtoto Bi.Rehema Simangwa amesema miongoni mwa sababu za uwepo wa vifo vya uzazi na watoto wachanga ni kutokwa na damu nyingi wakati wa kujifungua, kifafa cha mimba, uzazi pingamizi na wajawazito kuchelewa kufika kwenye vituo vya kutolea huduma mara uchungu unapomuanza, huku upande wa vifo vya watoto wachanga ni mtoto kufia tumboni, mtoto kuzaliwa amechoka, watoto wanaozaliwa njiti na kukosa huduma kwa haraka pamoja na mtoto kuzaliwa na ulemavu.

Bi Rehema amesema kwa kipindi cha Aprili – Juni 2025 Halmashauri  imepokea vifo 5 vya watoto wachanga na upande wa kinamama hakuna kifo kilichotokea huku akisema kuwa kupitia vikao hivyo vimekuwa na tija kwa wataalam kujengeana uwezo ambao hutumia utaalam huo kuwasaidia kinamama kupunguza vifo vya wazazi na watoto wachanga.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.