• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Ufaulu Elimu Msingi Halmashauri ya Mufindi Waendelea Kustawi Wafikia Asilimia 90.64

Posted on: February 12th, 2020


Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa miaka mitano mtawalia imeendelea kupandisha ufaulu wa wanafunzi wanaohitimu darasa la saba, kutoka asilimia 68.2 mwaka 2014, hadi kufikia asilimia 90.64 mapema mwaka jana 2019.

Takwimu hizo zimetolewa na Mkuu wa idara ya Elimu Msingi Kenedy Bukagile, wakati wa kikao cha tathimini ya mtihani wa kumaliza Elimu msingi kwa mwaka 2019, kilichowakutanisha Walimu Wakuu wa Shule zote za msingi pamoja na Maofisa Elimu kata kutoka Kata 27 za Halmashauri.

“Ndugu Mgeni rasmi, kwa miaka mitano mfurulizo ufaulu wetu unazidi kupanda, ambapo, mwaka 2014 tulifaulisha kwa asilimia 68.2, mwaka 2015 asilimia 80.39, mwaka 2016 wahitimu wetu walifaulu kwa asilimia 84.9, mwaka 2017 asilimia 84.26, 2018 asilimia 86.73, wakati mwaka jana 2019 ufaulu ulipanda na kufikia asilimia 90.64” alitanabaisha Bukagile.

Mkuu huyo wa idara ameongeza kuwa, mafanikio hayo yametokana na mikakati inayowekwa na idara yake kupitia vikao vya tathimini vinavyofanyika kila mwaka na kubainisha baadhi ya mikakati kuwa ni pamoja na utoaji wa chakula cha mchana shuleni sanjari na uwepo wa kambi za masomo.

Mgeni wa heshima katika hafla hiyo ambaye ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mhe. Festo Mgina, amewaagiza viongozi hao kundelea kutekeleza suala la utoaji chakula cha mchana kwa kuwahamasisha wazazi kuchangia kwa mujibu wa sera ya Elimu pasipo malipo.

“Hata hivyo, ninawaagiza kutoshiriki kuchangisha michango yoyote bali jukumu la utoaji chakula lisimamiwe na serikali za Vijiji na si vinginevyo kwani utoaji wa chakula huleta usawa kwa walionacho na wasionacho"


Mkuu wa Idara akisoma Takwimu za Ufaulu


Picha ni Baadhi ya Maofisa Elimu Kata na Walimu wakuu



Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.