• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

RC HAPI, aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi Kituo cha Afya Ifwagi

Posted on: January 7th, 2019

RC HAPI, aridhishwa na Maendeleo ya Ujenzi Kituo cha Afya Ifwagi

Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe Ally Hapi mapema leo hii amefanya ziara yake ya kwanza kwa mwaka 2019 Katika Halmashauri ya wilaya Mufindi ikiwa ni siku ya tatu baada ya mwaka mpya na kukagua baadhi ya miradi ya maendeleo inayotekelezwa Wilayani humo hususani Ujenzi wa Kituo cha Afya Ifwagi.

“Nimeridhika, nimefarijika kuona kwamba ujenzi uko kwenye hatua nzuri, Nikupongeze Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi na Timu yako kwa kusimamia vyema viwango elekezi na vyenye ubora katika ujenzi huu wa Kituo hiki cha afya Ifwagi ikiwa ni pamoja na kasi kubwa ya kuhakikisha ujenzi huu unamalizika kwa wakati ili wananchi ndani ya mwaka huu waanze kupata huduma za afya katika kituo hiki” Alisema.

Ujenzi wa kituo cha afya Ifwagi ulianza mwaka jana 2018 baada ya kupokea fedha kutoka serikalini kiasi cha shilingi Milioni 400 kwa ajili ya ujenzi huo chini ya Progam maalumu ya kushirikisha nguvu za wananchi yaani Force Account kwa kutumia wataalamu wenyeji wa eneo husika kwa lengo la kupunguza gharama za ujenzi lakini pia kuwa na ujenzi imara na wenye ubora wa hali ya juu.

Aidha katika ujenzi huo umeenda sambamba na nyumba ya Mganga ambayo nayo iko mwishoni kumalizika kwa lengo la kurahisisha upatikaaji karibu wa wataalamu wa Afya ili kurahisisha utoaji huduma bora za afya kwa wananchi katika kipindi cha muda wote wa masaa 24.

Kituo hicho cha afya kinatarajiwa kukamilika mwaka huu na kitaanza kazi ya kuhudumia wananchi wa Ifwagi na kata zake kwa lengo la kusogeza huduma za afya jirani na wananchi ikiwemo huduma za upasuaji mdogo, kliniki ya afya ya mama na mtoto, wodi za kulaza wagonjwa huduma za kinywa na meno na nyingine zote muhimu.

Mkoa wa Iringa ni moja kati ya mikoa inayotekeleza ujenzi wa vituo vya afya takribani 8 ambavyo vyote vinaendelea vizuri na mara baada kumalizika basi serikali itamalizia kwa kununua vifaa tiba ikiwa ni pamoja na madawa kupitia bohari kuu ya dawa MSD tayari kwa matumizi ya Wananchi kwa ajili ya kuboresha afya zao.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.