• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Prof. Shemdoe Akabidhi Mikoba ya Ukurugenzi Halmashauri ya Wilaya Mufindi

Posted on: August 21st, 2018

Prof. Shemdoe Akabidhi Mikoba ya Ukurugenzi Halmashauri ya Wilaya Mufindi

Hatimaye aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Prof. Riziki Shemdoe, ambae kwa sasa ndiye Katibu Talawa wa Mkoa wa Ruvuma kufuatia uteuzi wa mkuu wa nchi, amekabidhi rasmi Ofisi na madaraka ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mufindi kwa kaimu Mkurugenzi Ndugu. Isaya Mbenje, kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za uongozi katika taasisi za umma.

Akizungumza wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika ofisini kwa Mkurugenzi mtendaji, Prof. Shemdoe, amewashukuru wakuu wa idara, vitengo na watumishi wote kwa ujumla ambao  walimsaidia kazi kwa juhudi maarifa na uaminifu jambo ambalo limesababisha aonekane na mamlaka za juu na hata kupata madaraka makubwa zaidi.

“Ninyi wakuu wa idara ndiyo mlioanifundisha kazi huku Serikali za mitaa, wakati nakuja huku nilikuwa sijui kitu, huku tofauti sana na  kule chuo kikuu nilikotoka, kule niljiua leo ninakipindi saa nne, nikitoka darasani najifungia kundika maandiko, ni kweli kwamba Mufindi ndiyo sehemu pekee ambayo kwa kiasi kikubwa nimejifunza uongozi hivyo, popote nitakapokuwa sitaisahau katika maisha yangu”

Aidha, Prof. Shemdoe, amewataka watumishi wa Halmashauri hiyo kutolinganisha uongozi wake na ule wa kaimu aliyemwanchia Ofisi wala kiongozi atakayeteuliwa rasmi kurithi nafasi yake na kusisitiza kuwa binadamu wanatofautiana na hata siku moja hawawezi kufanana kwa kila kitu kwani kila mmoja anamtazamo wake na namna yake ya kuongoza.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe. Jamhuri William, ambaye ndiye alikuwa mgeni wa heshima katika hafla hiyo, amempongeza  kwa uadilifu na utendaji mzuri wa kazi na akabainisha kuwa mara zote alitumia taaluma yake kama Profesa kutatua changamoto zilizokuwa zikijitokeza.

“Hakika kulikuwa hakuna changamoto ambayo ilikuwa haipati utatuzi kwa Prof, alinisaidia sana kupata shuluhisho la mambo mengi hata kwa mambo yangu binafsi, alikuwa kiunganishi sahihi kati ya ofisi ya DC na Halmashauri ni katika kipindi chake uhusiano wa Ofisi hizi mbili ulikiwa imara zaidi, ungeweza kudhani Ofisi ya DC na Mkurugenzi ni moja.” Alisema  Mkuu wa Wilaya.

WASIFU. Prof. Riziki Shmdoe alizaliwa  Wilayani Lushoto Mkoani Tanga Mwaka 1974, alipata Shahada ya tatu ya  uzamivu PHD chuo kikuu cha Ghent kilichopo barani Ulaya Nchini Ubeligiji na kubobea kwenye taaluma ya (Applied Biological Sciences). Mwaka 2001 mpaka 2003 alisoma na kuhitimu shahada ya umahili (Masters) katika chuo kuu cha kilimo cha Sokoine (SUA) Morogoro akijikita kwenye (Management of Natural Resources For Sustainable Agriculture). Mwaka 1997 -2000 alisoma na kuhitimu Shahada ya kwanza ya taaluma ya Misitu katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine  (SUA) Morogoro’

Aidha, 1994 – 1996 kidato cha 5 -6 Shule ya Sekondari SAME

1990 -1993: Kidato cha nne LWANDAME Sekondari

1983 – 1989: NGWERO Shule ya Msingi .













Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.