• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi Yapitisha Bajeti ya Bilioni 53 Kwa Mwaka 2019 - 2020

Posted on: February 20th, 2019

Mufindi Yapitisha Bajeti ya Bilioni 53 Kwa Mwaka 2019 - 2020

Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imejadili na kupitisha bajeti ya kiasi cha shilingi bioni 53.853 kwa mwaka wa Fedha wa 2019 – 2020.

Bajeti hiyo imegawanyika katika vipengele vinne ambapo Halmashauri kupitia vyanzo vyake vya ndani inatarajia kukusanya na kutumia shilingi bilioni 6.175, luzuku ya mishahara kwa watumishi kutoka serikali kuu bilioni 39.277, luzuku kwa matumizi mengine bilioni 2.518 wakati Fedha itakayoelekezwa kwenye miradi ya maendeleo ni zaidi bilioni tisa (09).

Aidha, baadhi ya miradi ya maendeleo inayotarajiwa kutekelezwa kwa mwaka ujao wa Fedha ni pamoja na kuanzishwa kwa Kituo cha Utangazaji cha Redio, uimarishaji wa sekta ya Afya pamoja na miundombinu ya Elimu,

Akibainisha sababu za kupanda kwa makadirio ya Fedha inayotarajiwa kukusanywa na kutumika  na Halmashauri kupitia vyanzo vyake vya ndani  kutoka Bilioni 4.162 mwaka 2018 – 2019 mpaka bilioni 6.175 mwaka 2019 – 2020,  Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Festo Mgina, amelimbia Baraza kuwa ongezeko hilo linatokana na Halmashauri kuanza kutoza ushuru wa mbao na nguzo kwa asilimia tano ya gharama ya mazao hayo ya Misitu (05).

“ Sababu nyingine ni zinatokana na kuanza  kutoza ushuru wa kuni zinazotumika Viwandani, kutoza ushuru wa utonvu unaovunwa katika shamba la miti la Sao Hill kwa ajili ya kutengeneza gundi, matumizi ya mfumo wa kielectroniki unaotumika kukusanya mapato sanjari na kuwepo kwa takwimu sahihi ya walipakodi hasa katika sekta za biashara Mifugo na kilimo.”

Bajeti ya 2019 – 2020 imendaliwa kwa kuzingatia mpango wa Maendeleo wa Taifa wa miaka mitano (05) 2016/17 – 2020/21, Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) ya mwaka 2015, Malengo endelevu ya maendeleo, sheria ya bajeti na kanuni zake, mwongozo wa ushirikiano wa kimaendeleo(DCF) Maekezo ya kisekta sanjari na makubaliano mengine ya kikanda ambayo Serikali imeridhia.

Sehemu ya watumishi wakifuatilia mjadala wa bajeti 2019 - 2020


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.