• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi yazidi kupaa ukusanyaji mapato ya ndani

Posted on: February 3rd, 2025

Baraza la madiwani limeipongeza Halmashauri ya Wilaya Mufindi kwa kuongeza mapato kupitia vyanzo tofouti ikiwemo uwepo wa mageti katika njia zote kwa ajili ya kudhibiti utoroshaji wa mapato yote, kwa sasa hali ya ukusanyaji mapato imefikia shilingi milioni 170 kwa  wiki tofauti na kipindi cha nyuma ambapo makusanyo yalikuwa shilingi milioni 80 kwa wiki.

Akiongoza baraza la madiwani Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mh. Festo Mgina amesema kuwa hali ya ukusanyaji wa mapato imeongezeka kwani kwa sasa kumekuwa na kasi ya ukusanyaji wa mapato jambo litakalosaidia Halmashauri kuendelea kutekeleza miradi yake kwa kupitia fedha za mapato ya ndani.

Sanjari na hayo amesema  ndani ya Halmashauri kuna baadhi ya maeneo yana madini ambapo uwepo wa madini hayo unaweza kutumika kama chanzo cha mapato, hivyo amewataka wataalamu kufuatilia kwa kina zaidi chanzo hicho ili kiwe chanzo kizuri cha mapato.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndg. Mashaka Mfaume amebainisha mikakati mbalimbali inayotumika katika ukusanyaji wa mapato ikiwemo uwepo wa mageti kwa ajili ya kudhibiti utoroshwaji wa mapato, uwepo wa doria nyakati zote, ushiriki wa timu ya manejimenti kwenye doria za masaa baada ya kazi, ushirikishwaji wa wataalam kwa kupatiwa motisha kwa wote wanaotoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa watoroshaji wa mapato na wasiolipa ushuru na malipo stahiki.

Aidha katika kufanikisha kasi ya ukusanyaji mapato Mh. Mgina kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wametoa rai kwa waheshimiwa Madiwani kuongeza chachu katika ukusanyaji wa mapato na kuleta maendeleo ya ujumla kwa halmashauri lakini pia kuendelea kuhamasisha wananchi kuendelea kuchukua tahadhari na kijikinga dhidi ya maambukizi mapya ya virusi vya UKIMWI.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.