• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkurugenzi Mpya Mufindi Akabidhiwa Ofisi, Abainisha Dira Ya Uongozi Wake

Posted on: February 6th, 2019

Mkurugenzi Mpya Mufindi Akabidhiwa Ofisi, Abainisha Dira Ya Uongozi Wake

Hatimaye Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bw. Netho Ndilito, amekabidhiwa rasmi Ofisi na kuanza kazi kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kutoka kwa aliyekuwa kaimu Mkurugenzi Bw. Isaya Mbenje, ambaye pia ni Mkurugenzi  mteule wa Halmashauri ya Pangani  Mkoani Tanga.

Akizungumza kabla ya makabidhiano wakati wa kikao cha kujitambulisha na kubainisha dira ya uongozi wake, ametoa rai kwa watumishi wa kada zote kufanya kazi kwa uadilifu, kuwajibika ipasavyo katika utendaji kazi na kutanguliza uzalendo wakati wote wanapowatumikia watu

“Naomba sana tuwajibike katika kuutumikia umma, mimi kama kiongozi sitakuwa mvumilivu kwa watu wazembe, watumishi wenye tabia ya kupokea rushwa, watumishi wasio kaa ofisini kutoa huduma “wanapatikana kwa tochi” watumishi wa namna hiyo nikiwabaini kupitia vyombo vyangu sitasita kuchukua hatua na nawahakikishia tutajua”

Mkurugenzi Ndilito, ameongeza kuwa, anapenda kuona watu wanafanya kazi  kwa uhuru na kuifurahia kazi husika lakini pia akaahidi kusimamia maslahi ya watumishi kadri ya sitahiki ya Mtumishi kama moja kati ya njia za kuchochea uwajibikaji wenye tija.

NETHO NDILITO NI NANI?

WASIFU KWA UFUPI

Mkurugenzi  alizaliwa Mwaka 1982

Kabila lake ni Mgogo

Ni Mume mwenye Mke Mmoja na Watoto wawili (2)

ELIMU

Kwa sasa Mkurugenzi Ndilito ni Mtahiniwa  wa  Shahada ya tatu (3) yaani shahada ya uzamivu PhD katika chuo kikuu huria cha Tanzania akibobea kwenye ( Development Economics)

Shahada yake ya pili, alitunukiwa katika Chuo Kikuu Cha Arusha (university Of Arusha) mara hii akijikita kwenye (Masters In Business Administration)

Shahada yake ya kwanza, aliipata katika Chuo Kikuu cha Mount Meru University akitunukiwa (Bachelor Of  Business With Education)

Aidha pia anataaluma ya Uwalimu Kwa ngazi ya DIPLOMA aliyotunukiwa na Chuo Kikuu cha Mount Meru.

UONGOZI Katiaka miaka tofauti na taasisi Zaidi ya kumi (10) tofauti ameshika nafasi  za uongozi.

Amekuwa Mkufunzi katika Vyuo vya ndani na nje ya nchi kwa nyakati tofauti.

Ameandika maandiko mabilimbali Zaidi ya ishirini (20)

 kwa wasifu Zaidi Tembelea www.mufindidc.go.tz

Aliyekuwa kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Isaya Mbenje kulia, 

akikabidhi mpango mkakati wa Halmashauri ikiwa ni moja kati ya nyaraka 

muhimu za Halmashauri.

Picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi mara baada ya Mkurugenzi mpya

 kuzungumza na Watumishi


Mkurugenzi mpya Netho Ndilito, alipokuwa akizungumza na Watumishi katika 

Ukumbi wa Halmashauri pichani ni baadhi ya watumishi ukumbini

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.