• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAKALA: Mnufaika wa TASAF Afaidika, Ufugaji wa Mbuzi

Posted on: February 3rd, 2019


MAKALA: Mnufaika wa TASAF Afaidika, Ufugaji wa Mbuzi

 SEKTA ya Mifugo hapa nchini inayo dira ya maendeleo inayoendana na dira ya Tanzania kufikia mwaka 2025 inayotamka kuwa “Kuwe na sekta ya Mifugo ambayo ifikapo mwaka 2025 kwa sehemu kubwa itakuwa na ufugaji wa kisasa na endelevu yenye Mifugo bora, uzalishaji mzuri na inayoendeshwa kibiashara na yenye kuboresha lishe ya Mtanzania, kuinua kipato cha mfugaji, Taifa na kuhifadhi mazingira”.

Ufugaji unaofanywa na Bi. Ikinara Kitalima Mkazi wa Kijiji cha Itulavanu kata ya Ikongosi Tarafa ya Ifwagi Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa ambae ni mnufaika wa mfuko wa maendeleo ya jamii wa kunusuru kaya maskini (TASAF-Mufindi ) amesema kutokana na fedha ambazo anazipata toka mwaka 2015 zimemsaidia katika kununua cement na hatimae kufanya ujenzi wa choo bora, pia kununulia mbuzi ambao wanamsaidia kutatua shida mbalimbali katika maisha na familia yake .

Ufugaji wa Mbuzi na Kondoo ni shughuli muhimu ya kiuchumi inayohusisha takribani asilimia 30% ya kaya za wakulima wote ambao huchangia karibu asilimia 22% ya nyama nchini

Kwa Mujibu wa Bi. Kitalima alianza ufugaji akiwa na mbuzi mmoja jike ambae mpaka sasa ameweza kuzaliana mpaka kufikia mbuzi 08 lakini kwa sasa wamebaki mbuzi 06 baada ya kuuza mbuzi 02 ambao walimsadia katika kutatua shida mbalimbali za familia yake.

Baada ya kuuza mbuzi hao 02 alifanikiwa kununua vifaa vya shule kwa wajukuu wake ambao ni wanafunzi na wanamtegemea baada ya kufariki kwa wazazi wao, vifaa hivyo ni kama vile, madftari, kalamu, penceli na sabuni likini pia humsaidia katika chakula malazi na nguo.

Bi. Kitalima amesema katika mradi wake wa ufugaji hajapata msaada mwingine wowote zaidi ya fedha za TASAF na juhudi zake binafsi.

Aidha Malengo yake ya baadae ni kuongeza wigo wa ufugaji hasa kufuga kuku kupitia fedha za TASAF anazozipata kutoka serikalini na nyingine atakapouza baadhi ya mbuzi wake ili awe na aina tofauti tofauti ya ufugaji na hatimae kujiongezea kipato.

Anaishukuru serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuendeleza mfuko wa maendeleo ya jamii unaosaidia kaya maskini akiwemo yeye ambae ananufaika na mfuko huo na hatimae kumkwamua katika wimbi la umaskini aliokuwa nao.

“Kweli mnatusaidia ndio furaha yangu, sasa hivi watoto wanafurahi na wanaenda sekondari baada ya kufaulu mtihani wa darasa la saba hivyo sina wasiwasi na maisha hata kidogo, alisema Bi.  Kitalima.

Mbuzi anauwezo wa kuzaa mara mbili kwa mwaka na hukua haraka na huwa na gharama ndogo za uzalishaji ikilinganishwa namifugo mingine.

Ufugaji wao unapendwa na wafugaji wadogo kama Bi. Kitalima hata hivyo uzalishaji wa mbuzi bado unakabiliwa na vikwazo mbalimbali ikiwa ni pamoja na lishe duni, magonjwa, na miundombinu hafifu ya masoko.  


B

Picha Bi. Ekinala akizungumza na Mwanahabari wetu kuhusu mafanikio aliyoyapata kupitia Fedha za

TASAF



Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.