• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Halmashauri Yavunja Mkataba Wa Ujenzi Mradi wa Maji Sawala

Posted on: May 21st, 2019

Halmashauri Yavunja Mkataba Wa Ujenzi Mradi wa Maji Sawala


Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imevunja mkataba wa ujenzi wa mradi mkubwa wa Maji maarufu kama mradi wa Maji Sawala katika Kata ya Mtwango wenye thamani ya shilingi Bilioni 1.8 uliyokuwa ukitekelezwa kwa pamoja na Kampuni za Siha Enterprise Co. LTD na  Mavonda       Co. LTD za Jijini Dar Es Salaam.

Halmashauri imelazimika kuvunja mkataba huo baada ya Mkandarasi kuonesha uwezo mdogo wa kutekeleza kazi hiyo, kwani tangu asaini Kandarasi ya ujenzi mnamo mwezi Januari 2018, katika hali ya kusikitisha ametekeleza jukumu hilo kwa asilimia 30 pekee licha ya kulipwa Fedha ya awali zaidi ya shilingi Milioni 270.

Aidha, Mkandarasi huyo anatakiwa kuilipa Halmashauri kiasi cha shilingi Milioni 413, ambapo kati ya hizo shilingi Milioni 254 ni faini wakati Milioni 159 ni bakaa ya Fedha ya utangulizi ambayo alilipwa baada ya kusaini mkataba.

Uongozi wa Halmashauri unaomba radhi kwa wananchi wa Kata ya Mtwango kwa kutopata     huduma muhimu ya Maji kwa wakati, hata hivyo, uongozi unawahakikishia kuwa mradi utatekelezwa kama ilivyokusudiwa kwani taratibu  za kumpata Mkandarasi mwenye uwezo na utashi wa kuujenga zimeanza.

Mnamo mwaka 2018 Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ilitiliana saini na Kampuni  za Siha Enterprise Co. LTD pamoja na Mavonda Co. LTD kwa kandarasi ya miezi 12 ya kujenga na kuyafikisha Maji katika makazi ya watu kwenye Vijiji nne vya Sawala, Mtwango, Lufuna na Kibao kwa shabaha ya kuhudumia watu elfu 14.

Kikao cha kuvunja Mkataba Ofisini kwa Mkurugenzi



Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.