• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DK. Mwanjelwa :Tunandaa bei elekezi ya Pareto, Chai ili kuwainua Wakulima Kiuchumi

Posted on: December 7th, 2017

DK. Mwanjelwa: Tunandaa bei elekezi ya Pareto, Chai ili kuwainua Wakulima kiuchumi

Naibu Waziri wa Kilimo Dk. Mary Mwanjelwa, amesema  Serikali ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mchakato wa kuweka bei elekezi kwenye mazao  ya Chai na Pareto  kwa shabaha ya kuinua kipato cha  Wakulima wanaojishughulisha na Kilimo cha Mazao hayo nchini.

Naibu Waziri amebainisha hilo, wakati wa ziara ya kikazi Wilayani Mufindi, alipotembelea Kiwanda cha chai cha MTC kilichopo Kijiji cha Itona Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi sanjari na kiwanda cha kuchakata Pareto kilichopo Mjini Mafinga.

Dk. Mwanjelwa amesema, uwepo wa bei  elekezi utasaidia kuwainua kiuchumi wakulima wa mazao hayo  kwani kwa muda mrefu wamekuwa wakilalamika kuwa wanunuzi wa mazoa yao ambao ni wawekezaji wa viwanda vya sekta hiyo, wamekuwa wakinunua malighafi hizo kwa bei zisizoendana na gharama pamoja na muda waliotumia kuzalisha mazao hayo.

 “Serikali inataka kuona kila mmoja anafaidi kadri anavyostahiki, lengo ni Mkulima apate anachostahili kulingana na alichopanda, Serikali ipate kodi yake kama inavyostahili na Mwekezaji apate faida yake kulingana na uwekezaji wake, tuwasaidie tuwainue wakulima hawa kwani bila malighafi kutoka kwao, hakuna kiwanda”

Aidha, Mh. Naibu waziri ametoa rai kwa wakulima nchini kuimarisha umoja wao kupitia vyama vya ushirika ili wawe na nguvu ya kusimamia maslahi yao hususani bei za kuuza mazao kwa wanunuzi wa mazao yao.

Tanzania ni nchi ya kwanza kwa kulima zao la Pareto barani Afrika na ni ya pili duniani ikitanguliwa na Australia.

 

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.