• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

Posted on: May 16th, 2025

Mkuu wa wilaya ya Mufindi Mhe.Dkt @salekwalinda amelipongeza Baraza la Madiwani pamoja na timu ya menejiment kwa kuwa Halmashauri ya mfano kwa kupitisha Miradi Mikubwa ambayo Utekelezaji wake ni kupitia fedha za Mapato ya ndani.

Pongezi hizo amezitoa wakati wa Baraza la Madiwani ambapo amesema kuwa uhai na Hatma ya Halmashauri iko mikononi mwao kwahiyo wakikishe wanaendelea kushirikiana na kuwa wamoja katika kuwatumikia Wananchi na Taifa kwa Ujumla katika kusukuma gurudumu la Maendeleo. Aidha amesisitiza Waheshimiwa Madiwani kuendelea kuisemea vyema Serikali kwa kusimamia vyema Miradi ya Maendeleo.

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Mufindi Mhe Festo Mgina amezitaka kamati zote za Kisheria kuendelea kufanya kazi mpaka Baraza litakapovunjwa kikanuni ikiwemo kuendelea kusimamia ukusanyaji wa Mapato kwa kubainisha mianya ua utoroshwaji wa Mapato.

Kwa upande wa Mkurugenzi wa Halmashauri Ndg.Mashaka Mfaume ametoa shukrani zake kwa niaba ya timu ya menejimenti na kwamba Madiwani hao wamekuwa wasimamizi wazuri wa Miradi ya Maendeleo ndani ya Halmashauri na ana imani Baraza hilo litarejea tena mara baada ya Uchaguzi Mkuu kwani  wamefanya kazi kubwa inayoonekana pamoja na kuendeleza mazuri yaliyofanywa na Baraza hilo.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.