• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

ALIYOSEMA MKUU WA WILAYA YA MUFINDI MH.SAAD MTAMBULE ALIPOKUWA AKIFUNGUA MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI KWA VIJANA 615 HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI.

Posted on: April 4th, 2022

ALIYOSEMA MKUU WA WILAYA YA MUFINDI MH.SAAD MTAMBULE ALIPOKUWA AKIFUNGUA MAFUNZO YA ANWANI ZA MAKAZI KWA VIJANA 615 HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI.

 

  • Hongereni sana kwa kuchaguliwa kufanya kazi hii ya Anwani za Makazi, sasa mkafanye kazi.
  • Mmechaguliwa kwa sifa, weledi na uzoefu mliokuwa nao na si vinginevyo.
  • Serikali ina Imani kubwa na nyie hivyo mkafanye kazi kwa uaminifu.
  • Mheshimiwa Rais anaimani kubwa na nyie katika utendaji wa kazi kwa kufuata haki na weledi.
  • Kukamilika kwa zoezi hili kutapelekea zoezi la sensa kufanyika kwa ufasaha kwani maeneo yatakuwa yanatambulika.
  • Kama kuna sababu ya ukweli na kuna dharula kuwa huwezi kushiriki zoezi hili hakikisha unatoa taarifa ili kazi isikwame iendelee.
  • Ukiwa na uzembe au kuzembea hakika zoezi hili halikufai.
  • Katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi hatutaki kukosea wala kuharibu, hivyo tusiwe na visingizio katika anwani za makazi.
  • Kila mtu akafanye kazi kwenye eneo lake kwa welledi na ufanisi mkubwa.
  • Imani kubwa Serikali iliyonayo juu yenu mkaithibitishe.
  • Hatutaki kukosea kosea tunafuatilia kwa umakini zoezi hili.
  • Tuhakikishe tunakuwa makini kwa mafunzo tunayofundishwa ili tukayafanyie kazi.
  • Mkienda huko kufanya kazi mkawe tofauti kwani nyie ni watumishi wa Umma, msiende kuishi bila nidhamu.
  • Tabia zenu na mwenendo uendane na kazi mnayoenda kuifanya.
  • Hakikisheni mnaenda kwa wakati kazini zingatieni muda wa kuanza kazi na kumaliza kazi.
  • Mavazi,muonekano wenu uwe mzuri usikivu msilete utani kwenye kazi.
  • Hili ni zoezi muhimu kwa nchi lazima tuwe makini, uzembe haukubaliki kwenye zoezi hili.
  • Tunataka Uzalendo na juhudi katika kufanya kazi mkatekeleze wajibu wenu.
  • Tuweke mbele maslahi ya Taifa Zaidi kuliko kitu chochote.
  • Twendeni tukafanye kazi vizuri ya anwani za makazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.
  • Imeandaliwa na 
  • Ofisi ya Habari na Mawasiliano
  •  
  • Sima Bingileki
  • Afisa Habari

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.