• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Balozi wa Norway Ahimiza Utunzaji Wa Mazingira Mufindi

Posted on: July 10th, 2019

Balozi wa Norway Ahimiza Utunzaji Wa Mazingira Mufindi

Balozi wa Norway nchini Bi. Elisabeth Jacobsen amewataka wananachi wa Vijiji vya Kipanga na Ihimbo vilivyopo Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuendelea kutunza mazingira ili kulinda uhai wa watu na viumbe hai kote duniani

Mhe. Balozi Jacobsen, amatoa rai hiyo wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa miradi ya utuzaji mazingira inayotekelezwa na wakazi wa Vijiji vya Kipanga na Ihimbo kwa ufadhili wa Serikali ya Norway.

Amesisitiza kuwa nchi yake imekuwa kinara wa kutunza na kuthamini mazingira na ndio sababu inaona umuhimu wa kusaidia harakati za utunzaji Mazingira Wilayani Mufindi ili wananchi wafanye shughuli za kujipatia kipato ambazo husaidia kuhifadhi Mazingira ikiwa ni pamoja na Upandaji miti ya Matunda, ufugaji Nyuki sanjari na kuhifadhi Misitu katika hifadhi ya Milima ya TAO la Mashariki inayowazunguka.

Tangu mwaka 2006 Serikali ya Norway  imekuwa ikifadhili ustawishaji wa Mazingira katika Halmashauri ya Mufindi kwa shabaha ya kulinda hifadhi ya Milima ya TAO la Mashariki iliyopo katika Vijiji vya Kipanga,  Ihimbo, Uhafiwa na Ukami ambapo wananchi huwezeshwa kujishughulisha na Upandaji Miti ya Matunda, Ufugaji Nyuki, kulinda mipaka ya hifadhi ya TAO la mashariki  hususani Hifadhi ya Misitu ya Uzungwa ambayo hupambwa na aina  mabalimbali za Wanyama pamoja na mimea.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.