• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA FEDHA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: January 30th, 2026

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imeonyesha kufurahishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa ndani ya Halmashauri kupitia vyanzo mbalimbali vya fedha ikiwemo fedha kutoka Serikali Kuu, Halmashauri (mapato ya ndani) na wadau mbalimbali wa maendeleo.

Ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Issa Manga Kamati hiyo imetembelea ujenzi wa nyumba ya walimu 2 in 1 na maabara katika shule ya Sekondari lhefu kata ya Mdabulo, ujenzi wa madarasa 2 na matundu 12 ya vyoo shule ya msingi na ujenzi wa madarasa 2 na matundu 6 ya vyoo kwa wanafunzi wa awali shule ya msingi Luhunga kata ya Luhunga, ujenzi wa miundombinu ya shule mpya ya awali shule ya Sekongari Ngwazi katika kata ya Igowole, ujenzi wa miundombinu ya mizani kata ya Igowole na ujenzi wa miundombinu ya kituo cha Afya lhowanza katika kata ya lhowanza..

Aidha imepongeza uongozi wa Halmashauri na wananchi katika maeneo yote inakotekelezwa miradi hiyo kwa kufanya kazi kwa ushirikiano jambo lililosaidia kuongeza ufanisi huku ikisisitiza miradi hiyo kukamilika kwa wakati na kuzingatia taratibu zote ili ianze kutumika.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 28, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 30, 2026
  • UPATIKANAJI WA CHAKULA BORA KWA AFYA BORA-RC KHERI JAMES

    January 28, 2026
  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.