• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UPATIKANAJI WA CHAKULA BORA KWA AFYA BORA-RC KHERI JAMES

Posted on: January 28th, 2026

Jamii yoyote makini huwekeza kwenye afya ya watu wake kwa kuhakikisha inapata chakula Bora Kwa mustakabali wa kuwa na jamii yenye afya Bora"

Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Comrade Kheri James wakati wa kikao cha tathmini ya utekelezaji wa mkataba wa lishe kwa kipindi cha Julai -Desemba 2025 kikao kilichohusisha kamati za lishe za Halmashauri zote za mkoa wa Iringa pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini.

Aidha amesisitiza uhamasishaji wa wazazi kuhakikisha watoto wanapata chakula shuleni, shule zenye maeneo kulima mazao ya chakula, matunda na mboga mboga, siku ya Sadiki(lishe) kutumika kutoa elimu kwa wananchi umuhimu wa lishe ili kuepuka udumavu na utapiamlo. Halmashauri kutenga fedha za afua za lishe na kuzitumia kama zilivyokusudiwa pamoja na kuweka taarifa zote za lishe kwenye mfumo husika.

Sambamba na hayo amewataka maafisa lishe kuendelea kutoa elimu na kufatilia aina ya vyakula vinavyoliwa, namna ya uandaaji na utunzaji wa vyakula hivyo ili viwe bora, huku akisisitiza kamati za chakula mashuleni kutanya majukumu yao kikamilifu.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 28, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • KAMATI YA FEDHA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 30, 2026
  • UPATIKANAJI WA CHAKULA BORA KWA AFYA BORA-RC KHERI JAMES

    January 28, 2026
  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.