• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Waziri Ulega Azindua na Kuweka Jiwe la Msingi katika Miradi mbalimbali Mufindi

Posted on: September 30th, 2024


Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Abdallah Hamis Ulega(MB) amezindua Mradi Mmoja na kuweka Jiwe la Msingi katika Miradi Miwili ya Maendeleo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Mradi uliozinduliwa ni Shule ya sekondari Kihenzile iliyojengwa ndani ya kata ya Nyololo,kuweka Jiwe la msingi Kituo cha Afya Ihalimba(Kata ya Ihalimba)na Ujenzi wa Mabweni Matatu Shule ya Sekondari Kibengu,Kijiji cha Usokami kata ya Kibengu.

Akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyika Tarehe 30/09/2024 katika Kata ya Kibengu Kijiji cha Usokami Mheshimiwa Ulega amewapongeza Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na Madiwani kwa kusimamia na Kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

“Nomba nichukue fursa hii kumpongeza Mkuu wetu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya,Mkurugenzi Mtendaji na Washeshimiwa madiwani,Hongereni sana kwa kazi nzuri mnayofanya,Hongereni sana kwa Uadilifu,Uaminifu na Uchapakazi”.

Aidha Mheshimiwa Ulega amesema amefarijika kuona Maendeleo Makubwa ya Utekelezaji wa Miradi ambayo imepokea fedha kutoka Serikali kuu,Mapato ya ndani ya Halmashauri(own source)na Kikubwa zaidi uchangiaji wa nguvu za wananchi katika utekelezaji wa Miradi hiyo.

Katika Ziara Hiyo,Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini Ambae ni Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mheshimiwa David Mwakiposa Kihenzile ametoa pesa taslimu kwa Waalimu wa Kujitolea katika Shule ya Sekondari Kihenzile kama Motisha Kwa kazi Nzuri Wanayofanya

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.