• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Waziri Kalemani apiga marufuku uagizaji nguzo nje ya nchi.

Posted on: December 3rd, 2017

WAZIRI KALEMANI:  MARUFUKU KUAGIZA NGUZO NJE YA NCHI

Waziri wa Nishati Mh. Medard Kalemani, amewataka wawekezaji  wa ndani kwenye sekta ya uzalishaji nguzo za kusafirishia nishati ya Umeme, kuhakikisha wanazalisha nguzo zitakazo kidhi mahitaji ya nchi na  zenye ubora, baada ya serikali kusitisha ununuzi wa nguzo  nje ya nchi.

Agizo hilo amelitoa wakati wa ziara ya kikazi Wilayani Mufindi, yenye lengo la kukagua ili kujiridhisha na uwezo wa viwanda vya kuchakata nguzo vya wawekezaji wa ndani waliopo Wilayani Mufindi.

Waziri kalemani amesema serikali ya awamu ya tano iliamua kusitisha uagizaji nguzo kutoka nchi za nje, baada ya kufanya tathimini na kujiridhisha kuwa, wawekezaji wa ndani katika sekta hiyo wanauwezo wa  kutosheleza mahitaji huku wakiongeza fursa ya ajira kwa vijana hapa nchini.

“Nataka hili niliweke wazi na ndio maana nimekuja kulisimamia kama Serikali na nitaomba muuhakikishie umma kwamba mnauwezo wa kutosha, na ndio maana juzi nilikuwa kwenye kiwanda cha Transifoma, sio nguzo zinapatikana Transifoma hazipatikani, Transifoma zinapatikana, nguzo hazipatikani, tunataka twende pamoja ili Watanzania hasa wale wanyonge wapate nishati hii kwa wakati na kwa gharama nafuu, Tanesko na Rea Mlisimamie hili.”

Wilaya ya Mufindi yenye rasilimali kubwa ya mazao ya misitu hapa nchini, inajumla ya Viwanda visivyopungua vitano vya kuchakata nguzo ,wakati viwanda viwili vya Qwihaya Enterprises na Sao Hill alivyotembelea vinauwezo wa kuchakata nguzo zisizopungua 450,000.00 kwa mwaka wakati mahitaji ya REA na Tanesko kwa miradi inayoendelea ni nguzo 90,000.00 pekee.

 

 

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.