• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Watumishi Halmashauri ya Mufindi Waaswa Kuwa Wamoja na Kuzingatia Maadili ya Kazi

Posted on: November 25th, 2022

Watumishi Halmashauri ya Mufindi Waaswa Kuwa Wamoja na Kuzingatia Maadili ya Kazi

Watumishi wa umma Halmashauri ya Wilaya Mufindi wametakiwa kuongeza upendo baina yao sambamba na kuacha majungu na fitina ili kupunguza kadhia ya kutafutiana ajali kazini miongoni mwa watumishi hao.

Rai hiyo imetolewa na Naibu waziri ofisi ya Raisi menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora Mhe. Deogratius Ndenjembi, kwenye kikao na watumishi wa umma wa Halmashauri ya Mufindi na kusema kuwa watumishi hao wanatakiwa waishi kwa mfano kwa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma.

Aidha Mhe. Ndenjembi, amewataka watumishi hao kutambua mipaka ya kazi yao huku akisisitiza kuwa hairuhusiwi kwa mtumishi kutoa taarifa mbaya za serikali mitandaoni na kwa watu wasioitakia mema serikali na kutoa msisitizo kwa watumishi hao kusimamia sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma.

Pia Ndemjembi amesema kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anawajali watumishi wa umma ambapo kwenye halmashauri ya Mufindi pekee zaidi ya watumishi 500 wamepandishwa madaraja baada ya kusubiri kwa miaka sita mpaka saba


Tangazo

  • Tunakodisha Ukumbi wa Halmashauri Uliopo Mafinga April 17, 2017
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mkuu wa Mkoa Aridhishwa

    December 13, 2022
  • Bilioni 1.4 za World Vision Kunufaisha Maelfu ya Kaya Mufind

    December 06, 2022
  • Watumishi Halmashauri ya Mufindi Waaswa Kuwa Wamoja na Kuzingatia Maadili ya Kazi

    November 25, 2022
  • Wilaya ya Mufindi Yazindua Muongozo wa Kuimarisha Sekta ya Elimu Nchin

    September 29, 2022
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.