• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

Posted on: March 11th, 2025

Watumiaji wa mfumo wa manunuzi kwa umma NeST Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wametakiwa kuzingatia utaratibu wa manunuzi ya mfumo huo katika kuendesha shughuli zote manunuzi ndani ya Halmashauri.

Kutumika kwa mfumo wa manunuzi ya umma NeST kunalenga udhibiti wa fedha katika utekelezaji wa miradi kuanzia kwenye mchakato wa kupata wazabuni hadi katika utekelezaji wa miradi mbalimbali.


Akizungumza katika semina ya kuwajengea uwezo watumiaji wa mfumo huo inayofanyika katika ukumbi wa CCM Wilaya        Afisa Ununuzi Mwandamizi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi kwa Umma Kanda ya Nyanda za Juu Kusini- Mbeya Ndg. Anthon Masau amesema mfumo wa NeST unaleta thamani halisi ya fedha katika miradi na kumuweka salama mtumiaji wa mfumo huo aliyefuata taratibu zote za kimfumo.


Masau ameongeza kuwa mtumiaji yeyote wa mfumo wa NeST katika manunuzi ya umma ambaye hatazingatia taratibu za mfumo huo anaweza kukabiliwa na adhabu ya kifungo jela au kutozwa faini au vyote kwa pamoja kwa mujibu wa sheria.

Awali wakati akifungua mafunzo hayo kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Mkuu wa Idara ya Ugavi na Manunuzi Ndg. George Anthon amesema mafunzo hayo yatasaidia kuongeza uelewa na ufanisi kwa washiriki, hali itakayosaidia kuepukana na makosa ya manunuzi katika utekelezaji wa miradi.

Mafunzo hayo ya siku mbili yanawahusisha wakuu wa shule za sekondari, walimu wakuu wa shule za msingi, watendaji wa vijiji na kata pamoja na wahudumu wa afya ili waweze kuzingatia kanuni, taratibu na sheria  za manunuzi katika vituo vyao vya kazi.

NeST ni mfumo mpya wa kielektroniki wa manunuzi ya umma ambao umeanzishwa kwa lengo la kurahisisha na kuweka uwazi katika mchakato wa manunuzi Serikalini.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.