• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

Posted on: April 10th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndg. Mashaka Mfaume amewaagiza Watendaji wa Kata na Vijiji wa Halmashauri hiyo kuhakikisha wanaisaidia Serikali katika kukusanya mapato kupitia kodi ya Majengo.

Ndg. Mashaka ametoa wito huo wakati akifunguamafunzo ya siku mbili kwa Watendaji Kata na Vijiji juu ya Kodi ya Majengo ambapo ameeleza kwamba Serikali inatambua kazi nzuri inayofanywa na Watendaji hivyo katika jukumu lakukusanya kodi ya Majengo wanao wajibu wa kulimamia zoezi hilo ipasavyo ili kuongeza Mapato ya Serikali.

"Hili ni jambo la Kisheria la kanuni na Kimuongozo Serikali yenyewe imeagiza tuwatumie Watendaji tuliowaajiri wafanye kazi hii kuisaidia Halmashauri na Serikali"  Amesema Mashaka.

Sambamba na hayo Ndg. Mashaka amewataka Watendaji hao kuzingatia Mafunzo wanayopewa na Wawezeshaji ili wasipate shida wakienda kukusanya kodi hizo.

"Niwatake muwe wasikivu sana kwa sababu haya ni mambo ya Kitaalamu yainayowataka muwe na Simu janja, na Teknolojia ya sasa ukiachia mafunzo haya naamini Watendaji wangu Simu janja mnazo na Kama hauna kwenye ulimwengu huu mambo mengi yatakupita". Amesema Mashaka

Kwa upande wake mmoja wa wawezeshaji wa mafunzo hayo Daudi Mambo Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi amebainisha nyumba zinazotakiwa kulipiwa kodi kuwa ni Nyumba za kawaida ambazo  na maghorofa, ambapo kodi kwa nyumba za kawaida kwa mwaka ni Shilingi elfu 18 huku upande wa ghorofa ni Elfu 90 kwa sakafu moja.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.