• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wajasiriamali Mufindi kunufaika na MUYOWIRUDE

Posted on: October 3rd, 2019

Wajasiriamali Mufindi kunufaika na  MUYOWIRUDE.


Taasisi ya Mufindi Youth and Women Initiative for Rural Development (MUYOWIRUDE) imeendesha semina ya siku mbili ya ujasiriamali kwa Maafisa maendeleo ya jamii wa ngazi ya Kata wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ili wakawajengee uwezo wajasiriamali waliopo katika Kata za Halmashuri hususani Wanawake na Vijana.

Mkurugenzi wa Mufindi Youth and Women Initiative for Rural Development (MUYOWIRUDE) Marco Shayo, amesema lengo ni kuwawezesha wanawake na vijana wajasiriamali wanaopatikana katika  kata, kuwa na mazingira wezeshi ya kuendesha shughuli za kijasiriamali pamoja na kukopesheka kirahisi kwa kupata mitaji kupitia vikundi vyao vya ujasiriamali vilivyoundwa.

“Tunataka kuwajengea uwezo wananchi wetu vijana na kinamama huko Kwenye ngazi ya kata waweze kupata mbinu mbalimbali, mfamo namna ya kuunda vikundi namna ya kuvisajili katila ngazi ya halmshauri ya Wilaya ya Mufindi  ili vikundi hivi viweze kukopesheka kirahisi hasa katika kipindi hiki cha kilimo hawa kinamama na vijana waweze kulima kilimo chenye tija ”.

Taasisi hiyo pia inakusudia kuwekeza kwenye Kiwanda cha kusindika Palachichi katika Wilaya ya Mufindi, ambapo itakuwa inanunua mazao ya parachichi kutoka kwa vikundi vya wajasiliamali vya Wanawake na Vijana wanaojihusisha na kilimo cha parachichi huku uwepo wa kiwanda hicho ukitajiawa kupunga tatizo la kukosekana kwa ajira hasa kwa Vijana wa Wilaya ya Mufindi.

Aidha, taasisi hiyo inajihusisha na kilimo huku kipaumbele chake ni kilimo cha parachichi na inahamasisha Vijana na Wanawake kulima matunda hayo kupitia vikundi vilivyosajiliwa na kuwawezesha kukopesheka kwa urahisi sanjari na  kutoa huduma ya kugawa miche ya parachichi bure kwa vikundi vyote vya ujasiliamali vinavyopatikana katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Semina hiyo iliyoondeshwa na taasisi ya Mufindi Youth and Women Initiative for Rural Development (MUYOWIRUDE) inafanyika kwa mda wa siku mbili na  imejumuisha jumla ya maafisa maendeleo jamii wa kata thelathini na saba (37) kutoka katika halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.


Mkurugenzi wa ASAS ya MUYOWIRUDE 

Bw. Marco Shayo


Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.