• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wafugaji Mufindi Kunufaika na Dawa, za Kuogeshea na Kutibu Mifugo

Posted on: November 22nd, 2019

Wafugaji Mufindi Kunufaika na Dawa,  za  Kuogeshea na Kutibu Mifugo

Jamii za wafugaji kutoka kata 26 na Vijiji 40 vya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, zitanufaika na dawa ya ruzuku maalum kwa  kuogesha na kutibu Mifugo ambayo hutumika kuua wadudu aina ya Kupe ili kupambana na Magojwa yanayosababishwa na wadudu hao.

 Dawa hiyo ijulikanayo kwa jina la PARANEX ikiwa na jumla ya ujazo wa lita 391 imetolewa na Serikali kuu kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi ikiwa ni ruzuku kwa wafugaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Kutolewa kwa dawa hizi kunatoa fursa ya kuogesha na kutibu Mifugo iliyopo kwa mujibu wa takwimu za Idara ya Mifugo na Uvumi ambayo ni Zaidi ya Ng’ombe 68,000, Mbuzi wasiopungua 14,000, Kondoo Zaidi ya 9,000 sanjari na Mbwa Zaidi ya 5,000.

Awali akizungumza na viongozi wa Wafugaji pamoja na Watendaji waliofika kupokea dawa hizo, mgeni wa heshima  ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndugu Netho Ndilito, amesema shabaha ya Serikali chini ya Rais Magufuli, ni kuhakikisha wananchi wa Mufindi wanakuwa na Afya bora na Mifugo yao inakuwa na Afya bora ili itakapoenda sokoni ilete fedha nzuri .

 “Hili linathibitishwa kwa kutupatia Fedha za kujenga Hospitali kubwa ya Halmashauri, Vituo vya Afya pamoja na kutoa kiasi cha shilingi milioni 6 za ukarabati wa Majosho manne ya awali katika vijiji vya Nyololo, Kitelewasi, Ugesa na Mkangwe na dawa hii sasa inaenda kutumika kuogesha na kutibu Mifugo kwenye Majosho Zaidi ya arobani yaliyopo” alisema Mkurugenzi Ndilito.

Baada ya kupokelewa kwa dawa za ruzuku, Serikali inatoa ruhusa  kwa wiki la kwanza la mwezi Disemba ambapo Mfugaji yeyote katika Halmashauri ya Mufindi ataogesha Mifugo yake bure na baada ya hapo Wafugaji wataogesha kwa kiasi cha shilingi 100 mpaka 200 kulinga na makubaliano ya wafugaji na Viongozi wao.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.