• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Wadau wa Sekta ya Mazao ya Misitu wakutana Mufindi Kuweka Mikakati ya Kukabiliana na Mot

Posted on: June 22nd, 2022


Wadau wa Sekta ya Mazao ya  Misitu wakutana Mufindi Kuweka Mikakati ya Kukabiliana na Moto

Kamishina Mkuu wa Hifadhi za misitu Taifa Prof. Santos Silayo, amesema kuwa, misitu inasaidia kukua kwa sekta zingine hapa nchini  kwani inatehemewa kwa utoaji wa malighafi nyingi hivyo lazima misitu ilindwe ili kusaidia ukuaji wa sekta nyingine.

“Tupo hapa kwa ajili ya uchumi wa Taifa letu hivyo asitokee mtu akatuhujumu maana watu wanaamini wanahujumiwa ili wauze mashamba yao mapema”

 

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Iringa Mh. Golyama Bahati amewaomba wananchi wote wa Mkoa wa Iringa na Mikoa Jirani kama vile Morogoro hususani Wilaya ya Kilombero wawe na mtazamo mmoja juu ya hasara na athari zitakazotokana na moto hasa utakapounguza misitu

“Tunahitaji maono ya pamoja tumekutana hapa ili kila mmoja atambue kwamba kuna changamoto kubwa ya moto na ukiendelea kuwepo hatuwezi kupata mazao bora kwenye sekta ya misitu”.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Saad Mtambule, amewaomba wananchi wote wa Wilaya ya Mufindi na Wilaya jirani ambazo zipo kwenye hatari ya kuunguliwa na misitu waungane kwa pamoja ili waweze kumshinda adui moto

“Moto kwenye misitu ni adui yetu mkubwa tena siyo adui wa mtu mmoja ni adui wa sisi wote kuanzia Yule anayeotesha miche,Yule anayepanda miti, Yule anayesafirisha mwenye viwanda anayechakata, yule anayekusanya mapato wote hao tunaathirika na adui moto”. 

Naye Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mh. Hanji Godigodi, amesema kuwa Wilaya yake imetenga fedha kwa ajili ya kununulia vifaa vya kudhibiti moto utakaozuka katika misitu iliyopo Wilayani mwake kwa ajili ya kunusuru hatari ya kuteketea kwa misitu zaidi katika Wilaya hiyo.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.