• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

UCHAGUZI UWE HURU NA WA HAKI-DC LINDA

Posted on: November 13th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mhe Dkt Linda Salekwa (PhD) amewaasa watendaji wa kata, Mitaa, Vijiji na Maafisa Tarafa wa Halmahauri ya Mufindi na Mafinga Mji Kuhakikisha Uchaguzi Unakuwa Huru na wa Haki.


Mhe;Dkt Linda amewaagiza Kusimamia kikamilifu Wananchi ili Wapige Kura kwa Kufuata Sheria, kanuni na Taratibu huku akisema kuwa ofisi yake itasimamia hali ya Usalama kwa wakati wote wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.


Ameyasema hayo leo wakati wa kikao kazi na watumishi hao ikiwa ni kikao kwaajili ya kutoa Maelekezo juu ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika tarehe 27 mwezi wa 11 mwaka 2024.


Pia ametoa rai kwa kundi hilo kushikirikiana na Mabalozi wa Mitaa kupanga mkakati utakao wezesha kutoa hamasa kwa wananchi kwenda kushiriki katika zoezi la kupiga kura siku itakapofika.


Sambamba na hayo amewataka kutoa huduma bila upendeleo kwa vyama vyote vitakavyoshiriki katika zoezi hili na kutogomea maagizo yatakayotolewa kwani ofisi yake itakuwa wazi kupokea taarifa na changamoto zitakazo jitokeza.


Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI December 28, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DKT LINDA SALEKWA AWAPONGEZA WAKURUGENZI

    February 19, 2026
  • KAMATI YA FEDHA YAFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

    January 30, 2026
  • UPATIKANAJI WA CHAKULA BORA KWA AFYA BORA-RC KHERI JAMES

    January 28, 2026
  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.