• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

SERIKALI KUANZISHA WAKALA WA KUHUDUMIA BARABARA ZA VIJIJINI MAPEMA MWEZI WA 07

Posted on: May 16th, 2017

SERIKALI KUANZISHA WAKALA WA KUHUDUMIA BARABARA ZA VIJIJINI MAPEMA MWEZI WA 07

Picha kwa hisani ya Blog ya jamii.

ili kuimarisha miundombinu  muhimu ya Barabara za vijijini zinazohudumiwa na Halmashauri nchini, serikali inatarajia kuanzisha taasisi mpya ya wakala wa Barabara vijijini, ambao utakauwa  na jukumu la kufanya tathimini ya mtandao wa Barabara za mamlaka za serikali za mitaa sanjari na kusimamia  matengenezo yake kila mwaka kuanzia mwezi wa 07 mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Mh. George Simbachawene, wakati akiwasilisha makadilio ya bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa 2017 – 2018 kwenye kikao cha Bunge la bajeti kinachoendelea makao makuu ya nchi Mjini Dodoma.

Simbachawene amesema, katika kuhakikisha lengo hilo linafikiwa na kuleta tija kwa miundombinu hiyo muhimu kwa maendeleo ya nchi, Wizara  imeshirikisha wadau wote muhimu ambao wamepata fursa ya kutoa maoni yao, ambayo yamesaidia kuboresha muundo wa chombo hicho muhimu katika kuimarisha usimamizi wa barabara za mamlaka ya Serikali za mitaa.

“Mheshimiwa spika, ninapenda kulijuza Bunge hili kuwa chanzo cha Fedha za utekelezaji wa majukumu ya Wakala zitatokana na bajeti ya Mfuko wa Barabara na fedha kutoka kwa wadau wa maendeleo. Aidha utekelezaji wa mpango huu tunakusudia uanze mapema mwezi wa saba mara tu mwaka mpya wa fedha utakapoanza rasmi” 

Kuanzishwa kwa wakala wa Barabara za  mamlaka za serikali za mitaa, kutaiondoa rasmi Idara ya ujenzi  kwenye Halmashauri  nchini, iliyokuwa na jukumu la kusimamia ujenzi na matengenezo ya mara kwa mara ya Barabara zote zilizokuwa chini ya Halmashauri, jambo ambalo linategemewa kuongeza kasi ya kuboresha miundombinu ya Barabara katika kwa mamlaka ya Serikali za mitaa.

 

 

 

 

 

 

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.