• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Naibu Waziri wa Nishati Akagua Chanzo Cha Umeme Mwenga Mufindi, Awasha Umeme wa REA Kata ya Ikongosi

Posted on: November 29th, 2018


Naibu Waziri  wa  Nishati  Akagua Chanzo Cha Umeme Mwenga  Mufindi, Awasha Umeme  Kata ya Ikongosi


Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewasha umeme katika kijiji cha Ikongosi kilichopo Kata ya Ikongosi na Kufanya ziara ya kutembelea chanzo cha Umeme kutoka kwa Mzalishaji binafsi MWENGA HDRO POWER Chini ya Kampuni tanzu ya RIFT VALLEY ENERGY iliyopo Wilayani Mufindi Mkoani Iringa.

“Nimefurahi kufika Mwenga hapa na nadhani ni mradi wangu wa kwanza kufika katika mradi kama huu wa sekta binafsi tangu nimeteuliwa kuwa naibu waziri wa Nishati katika uzalishaji huu wa umeme kwa kutumia maporomoko ya maji, nawapongeza sana Mwenga”. anasema Mhe Mgalu

Katika suala la uhifadhi mazingira Mhe. Mgalu, ameitaka kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Mufindi kuchukua hatua na kuhakikisha vyanzo vya maji ikiwemo chanzo cha mto mwenga vinatunzwa ipasavyo ili kuwa na umeme wa uhakika na wale wanaofanya shughuli za kilimo karibu na vyanzo vya maji waondolewe mara moja bila kuwaonea haya.

“Tupo katika vita ya kuhakikisha miradi inayozalishwa kwa kutumia umeme inafanya kazi kama ilivyokusudiwa, nashukuru Mungu mwaka huu hatujaona athari katika Mtera na Kidatu” alisema Mhe Mgalu.

Akitoa wito kwa wakazi wa maeneo ya chanzo cha umeme wa maji Mwenga, amewataka wananchi kuendelea kutii maagizo ya serikali za mitaa ya kutunza vyanzo vya maji, aidha amewaomba viongozi wa kisiasa kufanya maamuzi magumu katika utekelezaji wa usimamizi wa kutunza mazingira na hasa kuwasihi wananchi wasilime vinyungu kando na vyanzo vya maji kwa

Kwa upande wake Meneja Mkuu wa Mwenga Hydro Power chini ya Kampuni tanzu ya Rift Valley Energy Mhandisi Joel Gomba amesema wameanza kujena mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mwakani ili kuongeza nguvu kwenye gridi ya Taifa na inategemewa kuzalishwa Megawati 2.4.

Kizungumzia mchango wa mradi huo, Meneja TANESCO Wilaya ya Mufindi Mhandisi Omary Ally, amesema MWENGAHYDRO POWER inazalisha kiasi cha zaidi ya Megawati 3.5 MW na kuvisambazia umeme jumla ya vijiji 32 na wateja 2,800.

TANESCO Wilaya ya Mufindi inaundwa na Halmashauri ya Mji Mafinga na Halmashauri ya Wilaya Mufindi yenye Kituo cha kupooza umeme Mgololo (220/33/11) Kv, Wilaya ina hudumia wateja wapatao 16,436 wa Halmashauri ya Mji Mafinga na Mufindi wateja wakubwa 108 wa kati 370 na wadogo 15, 958 aidha Wilaya inauwezo wa 30MW (Capacity) na matumizi ya juu ni 9.5MW.


Nabu Waziri wa kwanza Kushoto ikipata maelezo ya ktaalamu kutoka kwa Meja wa Tanesko Mufindi Mhandisi. 

Omary Ally, kabla ya kuzindua hudum ya Umeme Ikongosi juu na chini

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.