• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Naibu Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Exzaud Kigahe, ahimiza Ushrikiano wa Viongozi na Wananchi

Posted on: May 23rd, 2022

NAIBU WAZIRI VIWANDA NA BIASHARA MH. EXAUD KIGAHE (MB) AHIMIZA USHIRIKIANO WA VIONGOZI NA WANANCHI.

Naibu waziri wa Uwekekazi, Viwanda na  Biashara Mheshimiwa Exaud Kigahe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini amehudhuria kikao cha Kawaida cha Baraza la Madiwani kwa robo ya tatu kilichoketi katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi- Bomani.

Kikao hicho kilikuwa na agenda mbalimbali ikiwemo kupitisha taarifa za Kamati za Kudumu za Halmashauri, taarifa mbalimbali za Halmashauri pamoja na Mapendekezo ya Eneo la Ujenzi wa Chuo cha Veta Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Akiongoza kikao hicho cha Baraza la Madiwani Mheshimiwa Festo Mgina amesema Mapato ya Hhalmashauri yanakusanywa kwa ufanisi na weledi mkubwa, hivyo pongezi ziende kwa  Mkurugenzi na wataalam kwa utendaji wa kazi mzuri, usimamizi wa fedha za miradi ya maendeleo pamoja na usimamizi wa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Hii yote ni kutokana na Usimamizi mzuri wa Baraza la Madiwani na wataalamu wanakubali kushaurika kila wakipewa ushauri na viongozi wa Halmashauri.

Akitoa salamu kwa Baraza hilo la Madiwani Naibu Waziri Mheshimiwa Exaud Kigahe amesema kuwa kazi ya viongozi ni kuleta Wananchi Pamoja na sio kugawa wananchi. Hivyo amewataka waheshimiwa Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuendelea kuwa wamoja na kuleta wananchi pamoja kwani maendeleo ya kila eneo yanaanza kwa viongozi kusimamia wananchi.

Aidha Naibu waziri amewataka viongozi na wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuhakikisha zoezi lililombele la SENSA linafanyika kwa haki na ufanisi mkubwa na kila mmoja awe tayari kuhesabiwa kwani, SENSA ni hatua ya kwanza ya  Serikali kupanga mipango yake.

Kikao cha Baraza la Madiwani kimehudhuriiwa na Wananchi halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Bi, Zaina Mlawa pamoja na wataalamu mbalimbali wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi na Viongozi wa Taasisi mbalimbali.

Imeandaliwa

Ofisi ya Habari na Mawasiliano



Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.