• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mwenge wa Uhuru wazindua, wakagua na kuweka jiwe la msingi miradi 9 Halmashauri ya Mufindi

Posted on: June 22nd, 2024

Mwenge wa Uhuru umepokelewa wilayani Mufindi mkoani Iringa ukitokea mkoani Njombe ambapo utakimbizwa kwa km 873 kwa kukagua na kupima ubora wa miradi 50 yenye thamani ya shilingi bilioni 665.6 kwa mkoa wote wa Iringa.

Makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru kimkoa yamefanyika Juni 22, 2024 baina ya Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Antony Mtaka na Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika kijiji cha Nyigo kata ya Itandula Wilayani Mufindi ambapo umebebwa na kauli mbiu isemayo Tunza Mazingira na Shiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Ustawi wa Taifa Endelevu.

Mwenge wa Uhuru wilayani Mufindi umekimbizwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa km 137.2 miradi 9 yenye thamani ya shilingi billion 488.8 ambapo umezindua miradi, kukagua na kuweka jiwe la msingi katika miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa vyumba viwili va madarasa na ofisi, ujenzi wa kituo cha afya Mninga, uzinduzi mradi wa maji Ibatu, ukaguzi wa shamba la kilimo na mifugo na miradi mingine.

Mwenge umepitia miradi mbalimbali ikiwemo uzinduzi wa shule ya msingi nyigo umezindua vyumba vya madarasa viwili na ofisi vyenye thamani ya shilingi milioni 50.4 huku ukikagua mradi wa shamba la kilimo na mifugo ASAR katika kijiji cha Iramba mradi ambao unahusisha ufugaji wa samaki, ng’ombe, bata na kuku huku upande wa kilimo ukijihusisha na kilimo cha parachichi.

Akitoa ujumbe wa Mwenge wa Uhuru Mkimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg.Godfrey Mnzava ametoa rai kwa wananchi wa Halmashauri ya Mufindi kuendelea kurithisha vizazi vya sasa na vijavyo juu ya faida za falsafa ya Mwenge wa Uhuru ikiwemo kudumisha umoja na mshikamano.

Aidha amewataka wananchi wote wenye sifa kushirki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa kuhakikisha wananchagua viongozi wenye sifa , wasiotoa wala kupokea rushwa kwani rushwa ni adui wa haki ambapo ametaka kuchaguliwa kwa viongozi wazalendo na wenye sifa za kuwahudumia wananchi.

 Sambamba na hayo amesisitiza utunzaji wa mazingira kwani suala la maingira ni sala mtambka hivyo kila mwananchi anao wajibu wa kutunza mazingira huku akisistiza suala zima a mapambano dhidi ya malaria kwa kila mwananchi kuhakikisha anapambana na ugongwa wa malaria ikiwemo kuepuka matumizi ya madawa kwa mazoea


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.