• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mwenge

Posted on: May 2nd, 2023

Mwenge wa Uhuru Waridhia Miradi Ya Bilioni 4.9 Halmashauri ya Mufindi

Mwenge wa Uhuru umehitimisha mbio zake katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa kuzindua, kukagua na kuweka mawe ya msingi jumla ya miradi sita yenye thamani ya Shilingi Bioni 4,925,513,649.

Mwenge wa wa Uhuru mwaka 2023 umekimbizwa umbali wa Km. 80.8 katika mbio hizo,umezindua miradi ifuatayo; Uzinduzi wa klabu ya Mzingira katika shule ya wasichana Mufindi, kuweka jiwe la msingi ujenzi wa bweni  katika shule ya Sekondari mbalamziwa thamani Milioni 131,000,00.00, ukaguzi wa mradi wa ufugaji Ng’ombe wa mziwa katika kata ya Nyololo na Maduma thamani 1,444,100,000 chini ya ufadhili wa World Vision.

Miradi Mingine ni ukaguzi wa wa vikundi vya wajasiriamali vya wanawake, Vijana na watu wenyeulemavu waliopewa mikopo isiyokuwa na riba kutoka Halmashauri, thamani bilioni 1,145,710,000.00, ujenzi wa kituo cha Afya Kasanga Kata ya Kasanga, thamani Milioni 152,000,000.00, ujenzi wa Maji  katika Vijiji vya  Igowole, Ikwega na Mkalala, thamani 3,242,561,649.15 bila vati.

Mwenge wa Uhuru ulipokelewa Mkoa wa Iringa kupitia Halmashauri ya Mufindi tarehe 1/05/2023 katika shule ya Sekondari Itandula kata ya Itandula, ukakesha katika Uwanja wa shule ya Msingi Igowole na mapema 02/05/2023 ulikabidhiwa kwa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa katika uwanja wa shule ya Msingi Kitwiru.

Kauli mbiu ya Mwaka 2023 ni Tunza Mazingira Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe Hai na Uchumi wa Taifa.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.