• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi yazindua kampeni ya Uimarishaji klabu za Kupinga Rushwa kwa njia ya Upandaji miti

Posted on: January 27th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Dkt. Linda Salekwa ameiongoza Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi katika uzinduzi wa Kampeni ya Uimarishaji Klabu za kupinga rushwa kwa njia ya upandaji miti, zoezi lililoandaliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Mufindi na kufanyika katika Shule ya Sekondari Mufindi.

Akitoa Salam zake Mh. Salekwa Januari 27, 2025 amepongeza kazi nzuri ya upandaji miti iliyofanyika ndani ya Halmashauri kwa mwaka uliopita kwa kushirikisha taasisi mbalimbali ikiwemo TFS, Sao Hill pamoja na wananchi ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika sekta ya Misitu na Maliasili.

Dkt. Salekwa ametoa rai kwa wanafunzi wa shule ya sekondari Mufindi na wanafunzi wote kiujumla kufanyia kazi mafunzo yote waliyoyapata kwenye klabu za kupinga rushwa hususani rushwa ya ngono kama njia ya mkato ili  kufaulu masomo yao na badala yake njia sahihi ni kuongeza juhudi katika masomo yao ili kupata matokeo mazuri kwani Serikali pamoja na wazazi wanafanya kazi nzuri ya kuhakikisha wanafanya vizuri zaidi shuleni ikiwemo uwepo wa majengo mazuri, vyumba vya madarasa, maabara na Tehama.

Kwa upande wake Mkuu wa TAKUKURU Wilaya ya Mufindi Ndg. Abdull Abdarahman amesema wamekuwa na kampeni mbalimbali katika utoaji elimu ya kupambana na kuzuia rushwa katika shule za msingi, sekondari na vyuoni lengo ikiwa ni kujenga dhana ya uadilifu na uzalendo ili kuwa na nchi salama.

Kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Mashaka Mfaume,  Afisa Maliasili Wilaya Ndg. Gilbert Ngailo amesema Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa msimu wa kilimo 2024/25 imeweka malengo ya kupanda jumla ya miti 25,000,000 kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali,  makampuni pamoja na wananchi kwani sekta ya misitu ni nguzo maalum katika kukuza uchumi na kulinda vyanzo vya maji.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.