• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi yapongezwa kupata hati safi

Posted on: June 26th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Peter Serukamba  ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kwa kupata hati safi ya ukaguzi kutokana na taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali kwa hesabu za serikali(CAG) inayoishia Juni 30,  2023.

Pongezi hizo zimetolewa wakati wa mkutano wa baraza hili maalum ambapo licha ya pongezi hizo Mh. Serukamba ameitaka Halmashauri ya Wilaya Mufindi kuhakikisha inaongeza nguvu  zaidi  katika usimamizi wa miradi ya Maendeleo ili  mradi hiyo iweze kukamilika kwa wakati.

Katika Taarifa hiyo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imebainisha uwepo miradi mbalimbali ambayo haijakamilika hivyo ameiagiza Halmashauri kuhakikisha  inapelekea fedha kwenye miradi hiyo ambayo bado haijakamilika ili  iweze kukamilika na kutoa huduma kwa wananchi ambapo pia amesisitiza kutoanza kwa miradi mpya kabla ya kumaliza miradi viporo ambayo hadi sasa bado haijakamilika.

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Peter Serukamba

 Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Dkt. Linda Salekwa

Katika hatua nyingine Mh. Serukamba amesisitiza   kufanyiwa kazi  haraka kwa maagizo na hoja ambazo zimebakia na majibu yake yawasilishwe katika ofisi ya Mdhibiti Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali wa nje ili kuhakiki hoja hizo ili ziweze kufungwa huku akitoa agizo kwa Taasisi ya kudhibiti na kupambana na rushwa TAKUKURU kufuatilia wadaiwa wote wa mikopo ya 10%  ya wanawake, vijana na wenye ulemavu walipe madeni yao ili kutoa nafsi kwa wengine kupata mikopo kama yalivyo maelekezo ya Serikali.

Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Festo Mgina

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Festo Mgina amesema wamepokea maelekezo yote ambayo yaliyotolewa na Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za Serikali sambamba na maelekzo na maagizo ya Mkuu wa Mkoa ambapo watayafanyia kazi ili kuepuka uwepo wa hoja ambazo zimesalia.

Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Mashaka Mfaume

Akisoma taarifa hiyo  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndg. Mashaka Mfaume ametoa shukrani kwa Mkuu wa Mkoa, Uongozi wa  Wilaya, Baraza la Madiwani pamoja na wataalam kwa ushirikiano mkubwa waliounyesha hali ambayo imepelekea halmashauri hiyo kupata hati safi kwa kuweza kushauriwa vema Baraza hilo.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.