• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi ya pongenzwa Ulinzi na Usalama wa Mtoto

Posted on: September 10th, 2017

Mufindi ya pongenzwa ulinzi na Usalama wa Mtoto

Na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, IRINGA

Wilaya ya Mufindi imepongezwa kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ulinzi na usalama wa mtoto ikiwa imeshinda mashauri 33 mahakamani.

Pongezi hizo zilitolewa na mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza katika kikao maalum cha uhamasishaji wa shughuli za ulinzi na usalama wa mtoto Mkoa wa Iringa kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa jana.

Masenza alisema “kwa kipindi cha mwaka 2015/16 hadi 2016/17 katika mashauri yote tulioshinda mahakamani, mashauri 33 ni ya mahakama ya wilaya ya Mufindi na matukio 10 tu ndiyo ya mahakama ya wilaya ya Iringa ikiwa Halmashauri ya Manispaa mashauri 3 na Halmashuri ya wilaya ya Iringa mashauri 7. Hii kidogo inasikitisha kwani katika maeneo ya Halmashauri ya Manispaa ndipo matukio mengi huripotiwa”.

Alisema kuwa katika eneo la mjini ipo Ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa, Ofisi ya Hakimu Mkazi wa Mkoa na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambao ndio wasimamizi wa mashauri haya huko mahakamani lakini mashauri 10 tu walishinda ikilinganishwa na wilaya ya Mufindi ambayo hutumia mwendesha mashataka wa Polisi kusimamia mashauri hayo mahakamani na kushinda mashauri 33. 

Mkuu wa Mkoa alielezea kwa masikitiko makubwa changamoto ya upelelezi wa mashauri ya watoto kuchelewa sana. Aliongeza kuwa mashauri ya watoto kuahirishwa mara kwa mara mahakamani na kutokuwa na siku maalum ya kusikiliza mashauri yanayowahusu Watoto ili kutoa fusra kwa mashahidi kuhudhuria kwa wakati ni changamoto nyingine inayokwamisha ufanisi katika kushughulikia mashauri ya watoto. 

=30=

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.