• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mufindi na Fursa Mpya ya Kilimo Cha Parachich

Posted on: December 16th, 2021


Mufindi na Fursa Mpya ya Kilimo Cha Parachichi


Na Ombeni Mgongolwa.

Zaidi ya shilingi milioni miatatu zimetolewa kwenye vikundi vidogo vidogo vya kijasiriamali Wilayani Mufindi ikiwa ni sehemu ya mpango mkakati wa kuinua vikundi tofauti tofauti katika Halimshauri hiyo.

Hayo yamesema na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashuri ya Wilaya ya Mufindi, Bi. Zaina Mlawa wakati ametembelea vikundi vitatu vya uwatikaji wa miche ya parachichi vilivyopo Wilayani humo katika Kata ya Nyololo ikiwa ni mwendelezo wa kukuza uchumi kwa wakulima.

Bi Zaina ameongeza kuwa, serikali imekuwa ikihakikisha vikundi mbali mbali katika jamii hususan akina mama wanapata fursa ya kupata mikopo isiyo na riba inayotolewa na halmashauri zote nchini ili kuhakikisha wanakuwa kiuchumi pamoja na kunyanyua familia zao.

Amesema, “ tumekuwa tukiwaamini wafanyabishara wadogo kwa kutoa mikopo mikubwa ya kuanzia milioni 20 hadi 30 ilimradi awe ana uwezo wa kurejesha pesa hiyo, na akifanikiwa kurejesha tunampandisha kiwango cha mkopo hadi kufikia milioni 50.”

Aidha amesisitiza kuwa, kuna umuhimu kwa wakulima kufuata malekekezo ya wataalamu wa kilimo ikiwa ni pamoja na matumizi bora ya viuatilifu pamoja na mbolea ambazo zinafaa kulingana na eneo husika.

Naye mwezeshaji wa kilimo kupitia shirika la Feed the Future Bw. Chesco Ng’ande ameiomba serikali kupitia upya bei za mbolea na viuatilifu, ikiwa ni pamoja na kupunguza gharama za ununuzi wa pembejeo kwa kuweka ruzuku inayokidhi ili kumnufaisha mkulima.

Hata hivyo, wakizungumza kwa nyakati tofuti wakulima wa kilimo cha mboga mboga na matunda katika bonde la Mafungu kata ya Sadani na wawatikaji wa miche ya parachichi kata ya Nyololo wameiomba serikali kuendelea kuwapatia mikopo ambayo itawawezesha kuongeza uwezo wa kuzalisha miche tofauti tofauti kulingana na amahitaji ya wakulima


Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.