- Mwanzo
- Kuhusu Sisi
-
Utawala
- Muundo wa Taasisi
-
Idara
- Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
- Idara ya Utumishi na Utawala
- Idara ya Fedha na Biashara
- Planing and Statistics Department
- Idara ya Elimu Sekondari
- Idara yaElimu ya Msingi
- Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
- Idara ya Afya
- Idara ya Maji
- Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
- Idara ya Mifugo na Uvuvi
- Idara ya Ujenzi
- Kitengo
- Fursa za Uwekezaji
- Huduma Zetu
- Madiwani
- Miradi
- Machapisho
- Kituo cha Habari
Magari hayo yana thamani ya Shillingi Milion 327 ambapo gari la kwanza lina thamani ya Shillingi Milion 127 na jingine lina thamani ya Shillingi Milion 200 ikiwa ni mapato ya ndani.
Akizingumza baada ya kukabidhi magari hayo, Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Mufindi Mhe. Mashaka S Mfaume amewataka madereva kusimamia kwa umakini Mkubwa magari hayo ambayo yametokana na mapato ya ndani.
Halmashauri ya wilaya ya Mufindi imekuwa ikinunua magari kwa ajili ya Matumizi mbalimbali ikiwemo siku za karibuni walinunua gari kwa ajili ya wagonjwa (Ambulance).
