• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mgololo Sekondari Kunufaika na Ufadhili wa Ujenzi wa Maabara kutoka MPM

Posted on: February 15th, 2018

Mgololo Sekondari Kunufaika na Ufadhili wa  Ujenzi wa Maabara kutoka MPM

Shule ya Sekondari Mgogolo iliyopo Kata ya Makungu Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, inataraji kunufaika na mradi unaojumuisha  ujenzi Maabara za Masomo ya Sayansi sanjari na vyumba vitano vya (05) vya Madarasa unaofadhiliwa na Kiwanda cha kutengeneza Karatasi cha Mufindi Paper Mills MPM.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Profesa Riziki Shemdoe, alipokuwa akisoma taarifa ya mradi huo wakati wa tukio la kuweka jiwe la Msingi, tukio ambalo limetekelezwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika ziara ya kikazi Wilayani   Mufindi.

Profesa Shemdoe, ametanabaisha kuwa, ujenzi wa jengo hilo la ghorofa moja  kwa ufadhili wa MPM unatarajiwa kuwa na Maabara tatu za  masomo ya Sayansi ambayo ni Kemia, Fiziki,  Bailojia pamoja na chumba kimoja cha kompyuta huku awamu ya pili ikihusisha ujenzi wa Madarasa matano (05) kwa ajili tahasusi za kidato cha Tano na Sita  zinazotarajiwa kuanzishwa.

Mkurugenzi huyo ameendelea kubainisha kuwa awamu ya kwanza ya Mradi inayojumuisha vyumba vitatu vya Maabara na chumba kimoja cha Kopyuta, inatarajiwa kukamilika mwezi wa nne mwaka huu, huku gharama ya Mradi mzima ukigharimu zaidi ya shilingi Milioni 400 chini ya ufadhili wa Kiwanda cha Karatasi Mufindi MPM.

Naye Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassani, ameutaka Uongozi wa Shule hiyo na Halmashauri kwa ujumla, kuhakikisha mradi huo  unatunzwa ili uendelee kuwa bora kwa kipindi cha miaka mingi ijayo pamoja na kumshukuru Mwekezaji kwa kujitoa na kuamua kuisaidia jamii.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.