• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Wilaya Mufindi, awataka vijana wa JKT kuwa walinzi wa amani ya nchi.

Posted on: July 9th, 2017

VIJANA ZAIDI YA 800 WA KIKOSI CHA 841 MAFINGA, WAFUZU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI, DC MUFINDI ATOA NASAHA

Serikali Wilayani Mufindi, amewataka vijana waliohitimu mafunzo ya awali ya kujitolea ya Jeshi la kujenga Taifa JKT kikosi cha 841 Mafinga, kuwa walinzi namba moja wa amani katika jamii zao, kwa kuwafichua waharifu watakao jaribu kuhatarisha amani na utulivu uliopo nchini kwa sasa

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh. Jamhuri William, wakati akifunga mafunzo ya awali ya kijeshi kwa vijana waliokuwa wakihudhuria mafunzo ya Jeshi la kujenga Taifa kutoka kikosi cha 841 kilichopo Mjini Mafinga Wilayani Mufindi.

 Mkuu huyo wa Wilaya amesema kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maadui wa nje na ndani ya nchi wanaojaribu kuvunja Amani na utulivu uliostawi kwa muda mrefu hapa nchini, hivyo, amewataka vijana hao kulinda  kiapo cha utii na uadilifu kwa Taifa na Mkuu wa nchi kwa kutekeleza sera ya Taifa inayotanabaisha kuwa  kila raia wa Tanzania ni Mlinzi wa nchi yake

Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya amewaasa vijana watakao pata fursa ya kuajiriwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama mara baada ya kuhitimu mafunzo, wakafanye kazi kwa nidhamu, uadilifu na uaminifu na kusisitiza kuwa serikali itaendelea kuajiri vijana wa JKT pekee kwenye sekta zote zinazohusika na ulinzi na usalama wa nchi.

Jumla ya vijana (846) wavulana wakiwa (612) na wasichana (234) wenye elimu za Msingi mpaka chuo kikuu, wamehitumu mafunzo ya awali ya kijeshi ya miezi (06) na kufuzu kuingia hatua ya pili ya mafunzo ya Malezi na stadi za kazi katika Jeshi la kujenga Taifa JKT.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.