• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA WILAYA: NI AIBU MIAKA 55 YA UHAURU BADO BAADHI YA WATANZANIA WANAJISAIDIA PORINI

Posted on: August 16th, 2017

MKUU WA WILAYA MUFINDI: NI AIBU MIAKA 55 YA UHURU BADO KUNAWATANZANIA WANAJISAIDIA PORINI

                                                                                              16/08/2017

Serikali Wilayani Mufindi, imesema itaanza kuchukua hatua kali za kisheria zilizopo kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, wasiozingatia sheria za afya ya mazingira, hususani suala la kuwa na vyoo bora ikizingatiwa kuwa elimu juu ya umuhimu wa kutumia choo bora imetolewa vya kutosha kwa wakazi wa Halmashauri hiyo.

Taarifa ya kitengo cha habari na Mawasiliano cha Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, imetanabaisha kuwa, kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mh Jamhuri William, katika kata ya Mbalamaziwa alipokuwa akizindua mradi wa Maji, Afya, Lishe, usafi wa Mazingira sanjari na usafi wa Mtoto chini ya miaka 05 ukitekelezwa kwa pamoja kati ya Halmashauri hiyo kwa kushirikiana na shirika la (peoples Development Forum) PDF chini ya ufadhili wa UNICEF.

Mh. Jamhuri amesema ni aibu kwa muda wa miaka 55 ya uhuru bado kuna Watanzania wanajisaidia porini au kwenye vyoo visivyo na sifa na kuwa chanzo cha uchafuzi wa mazingira pamoja na magonjwa ya mlipuko na kufafanua kuwa suala la kuwa na nyumba bora linalozingatiwa na wakazi wa Halmashauri hiyo, ni lazima liende sambamba na ujenzi wa choo chenye ubora huku akiahidi kuchukua hatua za kinidhamu kwa watendaji wa Vijiji watakao zembea kusimamia suala hilo.

Katika hatua nyingine Mh. Jamhuri William, amewataka wakazi wa Halmashauri hiyo, kutumia vema uwepo wa aina mbalimbali za vyakula  Wilayani humo, kuondokana na suala la lishe duni licha ya Mkoa wa Iringa kuwa miongoni mwa mikoa 05 ya nyanda za juu inayoongoza kwa uzalishaji wa mazao ya chakula, huku akitilia mkazo kuachana na tabia ya kula unga wa Sembe badala ya dona yenye viinilishe hitajika.

BDF Kwa kushirikiana na Halamashauri ya Wilaya ya Mufindi chini ya ufadhli wa UNICEF, itatekeleza miradi hiyo katika kata nne za Mbalamaziwa, Ikweha, Sadani na Mtambula, ambapo itachimba visima, kukarabati miradi ya Maji, Ujenzi wa vyoo kwenye tasisi za umma pamoja na Usafi na lishe bora kwa Mtoto chini ya miaka 05

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.