• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKUU WA MKOA WA IRINGA QUEEN SENDIGA AZINDUA MFUMO WA ANWANI ZA MAKAZI-IRINGA

Posted on: March 18th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mheshimiwa Queen Sendinga amezindua Mfumo wa Anwani za Makazi Mkoani Iringa, Kata ya Wambi mtaa wa Pipeline katika  Halmashauri ya Mji wa Mafinga ambapo  wawakilishi kutoka Halmashauri  zote za mkoa wa Iringa zimehudhuria.

Amesema  mpaka sasa hatua iliyofikiwa na Halmashauri zote ni  kutoa elimu kwa wananchi,kujenga Uelewa kwa waheshimiwa madiwani na wenyeviti wa vijiji na mitaa kuhusiana na anwani za makazi, Uhamasishaji umefanyika kwa njia mbalimbali ikiwemo vipeperushi, mabango,  gari la matangazo pia kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, uhamasishaji umefanyika kupitia redio Mufindi fm na mikutano ya hadhara.

“Ifikapo tarehe 30/4/2022 hakikisheni zoezi hili kwa mkoa wa Iringa na Wilaya zake liwe limekamilika kwa ufanisi wa hali ya juu na ubora, hii inapelekea kufanya zoezi la sense ya watu na makazi kufanyika kwa urahisizaidi mwezi wa nane na kurahisisha upangaji wa mipango ya Serikali kufanyika kwa ufanisi”

Aidha, amewapongeza Wakuu wa Wilaya wa Mkoa wa Iringa, Wakurugenzi pamoja na wataalamu kwa jitihada walizofanya mpaka sasa ili kukamilisha zoezi hili la mfumo wa anwani za makazi na amewataka kuhakikisha taarifa zote za anwani za makazi zinakuwa sahihi na za ukweli.

Zoezi hili linafaida kubwa kwani Serikali itaweza kupanga mipango yake, kwa kufahamu idadi ya watu mitaa na nyumba katika maeneo yote, mitaa yote itakuwa na majina na nyumba zitakuwa na namba. Biashara zitakuwa rahisi kufanyika na mawasiliano yatakuwa rahisi.

Imeandaliwa na Ofisi ya Habari na Mawasiliano

Sima Bingileki

Afisa Habari

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.