• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa Mkoa Aridhishwa

Posted on: December 13th, 2022


Mkuu wa Mkoa Iringa Aridhishwa, Maandalizi ya Kuwapokea Kidato cha Kwanza


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe.Halima Dendego amefanya ziara ya siku moja katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kukagua utekelezaji wa  miradi ya ujenzi wa madarasa 09 yenye thamani ya Shilingi Milioni 180 Fedha iliyotolewa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kabla ya kaunza kwa kidato cha kwanza mapema mwaka ujao 2023.

Akizungumza wakati wa ukaguzi huo, Mhe Halima Dendego, amesema kuwa ameridhishwa na ujenzi wa miradi ya madarasa yenye lengo la kuondosha uhaba wa madarasa pamoja na kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji  katika Shule za Sekondari alizopita na kukagua  ambazo ni Igombavanu, Ilongo, Ihowanza, Nzivi pamoja na Igowole.

"Mhe. Mkuu wa Wilaya, Mwenyekiti wa chama  tawala na Mwenyekiti wa Halmashauri, mimi nimeridhishwa sana na utekelezaji wa miradi hii, miradi imetekelezwa vizuri na kwa kasi na mimi huwa sina maneno mengi nikikuta maelekezo yametekelezwa kwa kiwango kizuri hivi"

Aidha Mhe. Mkuu wa Mkoa, amewaomba Viongozi akiwemo  Mkuu wa Wilaya, Mwenyekiti wa Chama, Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Baraza la Madiwani, kuketi chini ili kutathimini namna ya upatikanaji wa mabweni kwa wanafunzi ili kuwaokoa na vikwamizo kutokana na shule kuwa mbali na makazi yao.

Nao baadhi ya Walimu na Viongozi wa serikali na chama wametoa shukurani nyingi  sana kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi nzuri na  kuhakikisha Watoto wote wanapata elimu katika mazingira bora kwa manufaa yao ya baadae.


Taarifa na ;

Kitengo cha Masiliano Serikalini

Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

Tangazo

  • Tunakodisha Ukumbi wa Halmashauri Uliopo Mafinga April 17, 2017
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Bilioni 55 Kutumika Bajeti ya 2023/2024 Halmashauri ya Mufindi

    February 07, 2023
  • Mkuu wa Mkoa Aridhishwa

    December 13, 2022
  • Bilioni 1.4 za World Vision Kunufaisha Maelfu ya Kaya Mufind

    December 06, 2022
  • Watumishi Halmashauri ya Mufindi Waaswa Kuwa Wamoja na Kuzingatia Maadili ya Kazi

    November 25, 2022
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.