• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MKURUGENZI MUFINDI DC AGAWA HATIMILIKI ZA KIMILA 105

Posted on: November 12th, 2024

Hatimiliki 105 za kimila zimewezeshwa na Shirika la @careinternationalintanzania kupitia mradi wa Pesa Yake, Maisha yake kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.


Akikabidhi hati hizo kwa wanufaika Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Ndg. Mashaka Mfaume amewataka wanufaika kuzingatia masharti ya Hati hizo ili kuepuka migogoro ya umiliki wa ardhi pamoja na kuzitumia kwa malengo mazuri ili ziwasaidie kujikwamua kiuchumi.


Aidha Mkurugenzi amepongeza shirika la @careorg kwa kuunga mkono juhudi za Serikali kwa kutoa Misaada mbalimbali ambayo inawasaidia wananchi kujikomboa kiuchumi ikiwemo elimu ya ujasiriamalo ili kujikwamua kiuchumi .



"Natoa shukrani zangu zaidi kwa CARE kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuwezesha kutoa elimu na kuwezesha vipande 105 ambapo kati ya vipande hivyo,vipande 75 ni vya akina mama,hili ni jambo kubwa sana"


Aidha Mkurugenzi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @samia_suluhu_hassan na Serikali yake ya Awamu ya Sita kwa kulegeza masharti ya mikopo ya 10% ambapo umri wa vijana umeongezwa kutoka miaka 35 mpaka miaka 45 ili kuongeza fursa kwa makundi ya Wanawake, Vijana na wenye ulemavu..


Mkurugenzi hakusita pia kuwakumbusha wanakijiji wa kata ya Luhunga kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27/11/2024.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.