• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

Posted on: March 1st, 2025

Wasimamizi wa miradi ndani ya Halmashauri wametakiwa kuzingatia taratibu zote za usimamizi na utekelezaji wa miradi ikiwemo matumizi ya mfumo wa manunuzi(Nest), ubora wa miradi kulingana na thamani ya fedha pamoja na ukamilishaji wa miradi kwa wakati.

Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Mashaka Mfaume wakati wa kikao kazi kilichojumuisha timu ya menejimenti, Takukuru pamoja na wataalam kwa ngazi ya kata toka sekta ya utumishi, afya na elimu ambao wanatekeleza miradi katika maeneo yao, lengo ikiwa ni kuwakumbusha kuzingatia taratibu zote za utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Katika utekelezaji wa miradi hiyo Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imepokea kiasi cha shilingi milioni 758 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi katika sekta ya afya na elimu, ambapo miradi inayotarajiwa kutekelezwa ni ukarabati wa miundombinu ya matundu ya vyoo yatakayogharimu shilingi milioni 496,799,5889.34, ujenzi wa miundombinu ya usafi wa mazingira katika zahanati na ujenzi wa kichomea taka hospitali ya Wilaya kwa gharama ya shilingi milioni 142,200,000, ukarabati wa madarasa, ukarabati wa nyumba ya walimu , ukamilishaji wa daharia na kusaidia ujenzi wa daharia kwa gharama ya shilingi milioni 120,000,000.

Kwa upande wake Afisa Uchunguzi TAKUKURU Wilaya ya Mufindi Ndg. Raymond Ngatunga amesisitiza kuzingatiwa na kufuatwa kwa taratibu zote za mfumo wa manunuzi katika utekelezaji wa miradi, lakini pia kuzingatia uwepo wa nyaraka zote muhimu wakati wa utekelezaji wa mradi ikiwemo kuzingatia sharia zote katika utekelzaji wa miradi, kuepuka matumizi ya nyaraka vivuli katika maeneo yasiyotakiwa ili kuepuka hoja zinazoepukika, pia amesisitiza kila mmoja kutimiza wajibu wake na kuepuka tamaa kwenye fedha za Serikali.

Kikao kazi hicho kimeshirikisha timu ya Menejimenti, Watendaji wa kata wenye miradi, maafisa elimu kata zenye miradi, watendaji wa vijiji vyenye miradi, walimu wakuu, wakuu wa shule , wahasibu wa shule na wakuu wa zahanati zenye miradi.



Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.