• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Milioni 300 za Halmashauri, zaboresha maisha ya Vijana na Wanawake Mufindi

Posted on: July 9th, 2017

MILIONI 300 ZA HALMASHAURI, ZABORESHA MAISHA YA VIJANA NA WANAWAKE MUFINDI

Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, imetoa mikopo yenye dhamani ya Shilingi Milioni 300 kwa vikundi (147) vya wanawake na Vijana, kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2016-2017 ikiwa ni kutekeleza sheria ya kuchangia maendeleo ya Vijana na Wanawake wa Halmashauri hiyo.

Takwimu hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri Wilaya ya Mufindi Bw. Hatibu Bwashehe, wakati wa hafla maalum ya kukabidhi hundi 63 zenye dhamani ya sh. Milioni 150 kwa kipindi cha robo ya nne na ya mwisho ya Mwaka wa fedha 2016 – 2017 uliokamilika  juni 30 mwaka huu.

Bwashehe, ametanabaisha kuwa, kati ya fedha hizo, milioni 150 zilitolewa kwa awamu ya kwanza mwezi novemba mwaka jana kwa vikundi (44) vya wanawake na kunufaisha  jumla ya watu (691) wakati vikundi vya Vijana vilikuwa 40  na vikanufaisha vijana wapatao (656) ambapo vijana wa jinsi ya kiume walikuwa (389) na jinsi ya kike (267) .

Akizungumza kabla ya kukabidhi hundi hizo kwa viongozi wa vikundi, Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Festo Mgina, amewataka wanufaika wa mikopo hiyo kuitumia kadri ya maandiko yaliyo wapa sifa ya kupewa mikopo na akasisitiza wahakikishe vikundi hivyo vinakua endelevu.

Naye Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Profesa Riziki Shemdoe, amewataka wanufaika wa mikopo hiyo kuzingati marejesho ya fedha hizo ili kutoa fursa kwa vikundi vingine kunufaika na mikopo hiyo huku akisisitiza kuwa fedha hizo ni mikopo na si ruzuku.

 

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.