• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Milioni 1500 Zilizotolewa, Ofisi Ya Rais -TAMISEMI Kujenga Hospitali Ya Kisasa Halmashauri Ya Mufindi

Posted on: January 20th, 2019

Milioni 1500 Zilizotolewa,  Ofisi Ya Rais -TAMISEMI Kujenga Hospitali Ya Kisasa Halmashauri Ya Mufindi

Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imetiliana saini na Mafundi Uashi saba (07), watakaotekeleza kandarasi za awamu ya kwanza ya ujenzi wa Hospitali ya kisasa ya Wilaya katika kata ya Igowole, eneo ambalo liliteuliwa rasmi kuwa makao makuu mapya ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi.

Hafla fupi ya kusaini kandarasi hizo imefanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji, ambapo, jumla ya Majengo saba muhimu yatajengwa ambayo ni Jengo la Utawala, Jengo la Wagonjwa wa nje, Jengo la kuhifadhia dawa, Jengo la kufulia, Jengo la Mionzi, Jengo la Wazazi sanjari na Jengo la Maabara ambayo yanatajikiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miezi nane (08)

Aidha, kiasi cha Fedha kitakachotumika kutekeleza awamu ya kwanza ya mradi huu mkubwa na muhimu kwa ustawi wa Afya za wakazi wa Mufindi ni shilingi Milioni elfumoja na miatano (1,500) sawa na shilingi Bilioni 01 na Milioni 500 zilizotolewa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

Akizungumza katika hafla ya kutiliana saini, Mwenyekiti wa Halmashari Mhe. Festo Mgina, amewataka Mafundi hao kutekeleza maradi kwa wakati sanjari na kuzingatia viwango vilivyokubalika na atahakikisha wanapata vifaa na malipo yao kwa wakati ili Hospitali hiyo ikamilike kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa wakazi wa Halmashauri ya Mufindi.

Naye kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Bw. Isaya Mbenje, ametoa rai kwa wataalamu hao wa ujenzi kufanya kazi kwa weledi mkubwa, kuacha visingizio vya mara kwa mara vitakavyochelewesha kukamilika kwa mradi.

“Pigeni kazi Fedha tunayo, yote ipo kwenye akaunti inawasubiri ninyi, hivyo yeyote atakayekwamisha tutavunja mkataba, atafukuzwa pamoja na kufunguliwa mashitaka” akihitimisha Ofisa Mtendaji Mkuu huyo.

Imetolewa na

Ofisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano

HALMSHAURI YA WILAYA MUFINDI


Mafundi wakisaini mikataba chini ya usimamizi wa Ofisa Manunuzi

Mafundi wakimsiliza Kaimu Mkurugenzi kabla ya kusaini kandarasi


Mwenyekiti wa Halmshauri Mhe. Festo Mgina kushoto, akikabidhi Mkataba kwa mmoja wa Mafundi 

watakaojenga Hospitali ya Wilaya.


Muonekano wa Lango kuu katika picha, hivi ndivyo utakavyokuwa

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.