• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Mazao ya Misitu Sasa Kusafirishwa Saa 24 - Rais Magufuli

Posted on: April 11th, 2019

MAZAO YA MISITU SASA KUSAFIRISHWA SAA 24 - RAIS MAGUFULI

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulia, amemuagiza Waziri wa Maliasili na Utalii kuifuta kanuni ya inayozuia usafirishaji wa mazao ya Misitu nyakati za usiku ili kuongeza kasi ya biashara kwa mazao hayo, hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi kwa Taifa.

Mkuu huyo wanchi ametoa kauli hiyo Mjini Mafinga Wilayani Mufindi, wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa Mji wa Mafinga walijitokeza kwa wingi kumlaki katika eneo la stendi.

“Haya na mimi nakubaliana sasa namwagiza Waziri wa Maliasili na Utalii kuifuta hiyo “regulation” ili mazao hayo yasafirishwe usiku na mchana  na wanaohusika na kudhibiti mazao hayo wajipange kufanya kazi usiku na mchana lakini msubiri kwanza ifutwe  na naamini  Waziri atafanya hivyo ndani ya wiki moja au mbili hivi” alisema Mhe. Rais

Aidha, Mhe. Rais amesema Serikali iliweka kanuni hiyo  baada ya kuwepo kwa ajali nyingi nyakati za usiku zilizokuwa zikisababishwa na madareva wa maroli ya kusafirisha bidhaa hiyo huku akitoa rai kwa  Madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani watakaporuhusiwa kusafirisha mazoa hayo nyakati za usiku .

Agizo la kufutwa kwa kanuni hiyo, linaigusa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambayo kwa maiaka mingi imekuwa mzalishaji kiongozi wa mazao ya Misitu hapa chini, hususani Mbao na Nguzo ambazo kila uchwao zimekuwa zikisafirishwa kwa maelfu kwenda Mikoa  mabalimbali, Afrika na kwingineko duniani.                                             

Mamia ya wakazi wa Mji wa Mafinga waliojitokeza kumsikiliza kumlaki na kumsikiliza Mhe. Rais

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.