• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA SITA SHULE YA SEKONDARI MGOLOLO YAFANYIKA

Posted on: May 2nd, 2022

ALIYOSEMA MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MUFINDI BI, ZAINA MLAWA KWENYE MAHAFALI YA KWANZA YA KIDATO CHA SITA SHULE YA SEKONDARI MGOLOLO.

# Hongereni sana wanafunzi , walimu na Bodi ya Shule kwa Mahafali hii ya kwanza kwa Kidato cha Sita kwa mwaka 2022.

 # Lengo la Serikali ni kuwapa Elimu, Kuwalea na Kuwatunza.

# Tuhakikishe wanafunzi na Walimu tufanye kile kilichotuleta hapa Shuleni na si vinginevyo.

# Wana funzi Wote kwa ujumla tuhakikishe tunahudhuria vipindi cha dini na tuelewe kuwa ukishafika Shule kufanya kinachopangwa na Shule ni lazima.

# Kwenye risala yenu mmeeleza changamoto ya vifaa ya michezo nawaahidi nitaleta mipira jezi na filimbi , michezo ni muhimu kwa Afya zenu.

# Walimu hakikisheni tamaduni na asili ya makabila husika kwenye eneo hili inadumishwa wanafunzi wafundishwe nyimbo za asili.

# Katika Elimu hakikisheni mnasoma kwa bidii ili ufaulu Uongezeke.

# Matumizi ya simu Shuleni hayaruhusiwi.

# Kuna mradi mkubwa wa Maji katika kata ya Makungu.

# Mmeomba walimu wa masomo ya Sayansi nitahakikisha Walimu hao mnawapata.

# Kupitia mapato ya ndani tutaleta shilingi milioni 30 kwaajili ya kujenga bweni na juhudi zinafanyika na ofisi ya Elimu sekondari kuomba Serikali kuu ili kutuongezea kwaajili ya bweni hilo.

# Serikali yetu ni sikivu itatuletea milioni 200 kwaajili ya kituo cha Afya Makungu. Hii ni Fedha kutoka Serikali Kuu.

# Kwenye Risala yenu mmesema kuhusu utolo, walimu hakikisheni mnaita majina asubuhi na Jioni na hatua zichukuliwe kwa watoto watolo.

# Walimu tuhakikishe tunatumia Zana za kufundishia katika ufundishaji.

# Tunamshukuru Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Hassan madai mbalimbali ya walimu yanaendelea kulipwa.

# Nawashukuru sana kwa Umoja wenu kwani umoja ndio Maendeleo yenu.

# Walimu nawapongeza kwa kazi kubwa mnayoendelea kufanya, mchango wenu tunauthamini mno.

# Wanafunzi waliotakiwa kujiunga na kidato cha kwanza na hawajajiunga watafutwe walipo kwa kushirikiana na serikali ya Kata.

# Tunaendelea kutafuta ufumbuzi wa ujenzi wa nyumba za Walimu, Shule ina jumla ya wanafunzi 1042, ikiongozwa na Mwalimu Mkuu Jumanne Nyaulingo, ina jumla ya walimu 30 na wanafunzi wanaotarajiwa kuhitimu ni wanafunzi 68 wa kidato cha Sita na mwaka huu 2022 ni  mahafali ya kwanza kwa kidato cha Sita kwa michepuo ya CBG na PCB.

Imeandaliwa na

ofisi ya Habari na Mawasiliano

Afisa Habari

Sima Bingileki.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.