• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

MAAFISA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NGAZI YA KATA WAPATA MAFUNZO UBORESHAJI DAFTRAI LA WAPIGA KURA

Posted on: December 19th, 2024

Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata katika Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi wametakiwa kufahamu vema majukumu yao na kuyafanyia kazi kwa ufasaha kwani mafunzo hayo ndio nyenzo ya kufanyia kazi katika maeneo yao wakati wa zoezi zima la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

Rai hiyo imetolewa na Mjumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi Mh. Jaji Asina Omari wakati wa mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya kata, ambapo amewataka kufahamu vema kwa nadharia na vitendo matumizi ya vifaa vyote vitakavyotumika, sambamba na majukumu yote yatakayofanyika wakati wa zoezi jambo litakalosaidia katika utatuzi wa changamoto zinazoweza kujitokeza.

Aidha amewataka kuhakikisha vifaa vyote vitakavyotumika vinahifadhiwa na kutumika katika mazingira mazuri na salama, lakini pia kuhakikisha wanawahudumia wananchi ipasavyo kwa ushirikiano mkubwa baina ya waandikishaji wasaidizi ngazi ya kata, waandishi wasaidizi pamoja na waendesha vifaa vya bayometriki, pia kuhamasisha na kutoa elimu kwa wananchi ili waweze kushiriki kikamilifu.

Kwa upande wake Afisa Mwandikishaji Wilaya Ndg. Gilbert Ngailo amesema mafunzo hayo yanahusisha namna bora ya ujazaji wa fomu, matumizi ya mfumo wa kuandikisha wapiga kura pamoja na matumizi sahihi ya vifaa vya uandikishaji wa wapiga kura.

Ngailo amesema kuwa zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi yenye majimbo mawili litaanza Desemba 27, 2024 na kukamilika Januari 02, 2025, ambapo pia litahusisha mawakala  wa vyama vya siasa watakaokuwepo katika vituo vya kujiandikishia wapiga kura, lengo ikiwa ni kujenga mazingira ya uwazi.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.