• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

Maafisa Ugani Wapewa Vifaa vya Kilimo

Posted on: September 7th, 2023



MAAFISA UGANI WAPEWA VIFAA VYA KILIMO.

Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi imewataka Maafisa kilimo wa kata kutumia vyema vifaa vilivyotolewa na serikali ili kuwasaidia wakulima Wilayani hapa.


Hayo yamesemwa Jumatano tarehe 06/09/2023 na katibu Tawala wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ndg. Frank Sichalwe, wakati akikabidhi vifaa vya kilimo kwa Maafisa ugani na kuwataka watumishi hao kutoa huduma hiyo pasipo kumtoza chochote mkulima.

“Vitendea kazi mtakavyo vipata hapa mkavitendee haki sawasawa na matumizi yake msigeuze matumizi, nimeambiwa kwamba hiki chombo cha kupimia udongo ni bure, mwananchi apimiwe udongo bure sasa kisigeuke kuwa sehemu ya biashara kwamba ili sisi tukupimie udongo tunahitaji kiasi kadhaa, huduma inatolewa kwa wananchi wote na wajulishwe kipimo cha kupimia udongo kimefika, kupima ni bure na kuchukua matokeo ni bure hakuna malipo yeyote, kama wananchi wako mbali kibebeni muwafate mkapime hukohuko”. Amesema Sichwale

Naye Afisa kilimo wa Halmashuri ya Wilaya ya Mufindi ndg Damasi Lubuva ameishukuru serikali kwa kuwapa vifaa na ameahidi kuwatumikia vyema wakulima

“ Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa mgeni rasmi ambae alikuwa Katibu Tawala wa Halmashauri ya Mufindi kwa kuweza kugawa vitendea kazi hivi kwa maafisa ugani ambao nao wameahidi kuongeza bidi na ufanisi ili kuleta tija kwa wakulima na sekta kiujumla”. Amesema Lubuva


Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA MAPATO MUFINDI DC SEPT 2025 September 24, 2025
  • TANGAZO LA KAZI ZA MUDA USAFI MUFINDI DC SEPT 2025 September 25, 2025
  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Lyra yapeleka neema ya bweni shule ya sekondari Idunda

    October 21, 2025
  • HAKIKISHENI MAREJESHO YANAFANYWA KWA MWITIKIO MKUBWA - DAS MUFINDI

    September 25, 2025
  • Ziara yenu ikazae mbinu mpya utekelezaji program ya ECO-SCHOOLS -Kaimu DED Mufindi DC

    September 22, 2025
  • Mufindi DC yajikita zaidi kupunguza vifo vitokanavyo na changamoto za uzazi

    July 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.