• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KURA 31 ZA NDIO ZAMUIBUA TENA MHE. MASANGULA

Posted on: September 8th, 2024



Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mhe. Festo Elias Mgina ameongoza Mkutano Mkuu Baraza la Madiwani katika Halmashauri hiyo kwa mwaka 2023/2024 ambapo mkutano huo umetawaliwa na ajenda kuu mbili ikiwemo ya Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti na Kamati za Kudumu pamoja na kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa mwaka wa 2023/24.

Katika Ajenda ya uchaguzi huo, Mhe. Mgina amemtangaza Makamu Mwenyekiti Mhe. Castori Boniface Masangula ambaye ameshinda nafasi hiyo kwa jumla ya kura zote za ndio 31 kutoka kwa Wajumbe wote ambao ni Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri hiyo kwa mwaka 2024/25.

Mhe. Masangula ameendelea kuteteta nafasi hiyo ya Makamu Mwenyekiti kwa muhula wa pili sasa ambapo kwa mwaka 2023/24 aliibuka mshindi wa nafasi hiyo, huku Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa thelathini na tatu (33) ambapo kura zote 33 zimepiga kura ya ndiyo kwa kuwa mgombea alikuwa ni mmoja na hakuna kura iliyoharibika.


Aidha Mhe. Mgina ameendelea kutangaza Wenyeviti wa kamati mbalimbali za kudumu katika Baraza hilo ambapo amemtangaza Mhe. Flavian Mpanda kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Huduma za jamii kwa kupata kura 9 akimshinda Mhe. Obadia Kalenga mwenye kura 7 ambaye ndiye aliyekuwa akiihudumu hiyo nafasi.


Akizungumza baada ya zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo Bw. Mashaka Mfaume amempongeza Mhe. Masangula kwa kurejea katika nafasi hiyo huku akimtaka kuendelea na kasi alioionesha katika kipindi cha mwaka mmoja ambao umetamatika hii sep 05, 2024.


Baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Masangula amemshukuru Mhe. Mgina, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo bw. Mashaka Mfaume pamoja Madiwani kwa kumuamini katika nafasi hiyo kwa adhima ya kuleta maendeleo kwa wananchi.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Sioasa Mkoa yakoshwa utekelezaji miradi ya maendeleo Mufindi DC

    May 18, 2025
  • DC Salekwa apongeza baraza la madiwani kupitisha miradi kwa mapato yua ndani

    May 16, 2025
  • RC IRINGA AKAGUA MIRADI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI

    May 09, 2025
  • Baraza la Madiwani Halmashauri Wilaya ya Mufindi Lapitisha Rasimu ya Mpango na Bajeti RUWASA na TARURA kwa mwaka wa fedha 2025/2026

    May 14, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.