• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe |
    • Malalamiko |
Mufindi District Council
Mufindi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Idara ya Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Idara ya Utumishi na Utawala
      • Idara ya Fedha na Biashara
      • Planing and Statistics Department
      • Idara ya Elimu Sekondari
      • Idara yaElimu ya Msingi
      • Idara ya Maendeleo ya Jamii,Ustawi wa Jamii,Jinsia na Vijana
      • Idara ya Afya
      • Idara ya Maji
      • Idara ya Maliasili, Ardhi na Mazingira
      • Idara ya Mifugo na Uvuvi
      • Idara ya Ujenzi
    • Kitengo
      • Kitengo cha Tehama
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Kitengo cha Nyuki
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Huduma za Kisheria
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na MH. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Taarifa
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YARIDHIKA NA KIWANGO CHA UJENZI KITUO CHA AFYA MNINGA

Posted on: September 9th, 2024

Kamati ya Kudumu Bunge TAMISEMI yaridhishwa kiwango cha ujenzi kituo cha Afya Mninga.

Ikiwa katika ziara zake za ukaguzi wa miradi ya maendeleo hapa nchini, Kamati ya Kudumu ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imeridhishwa na ujenzi wa kituo cha Afya Mninga na kuutambua mradi huo kama mradi bora ambao ujenzi wake unaendelea kuwa ni wa kiwango cha kuridhisha na mfano wa kuigwa.


Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Justine Nyamoga pamoja na kamati yake wamepongeza ujenzi na kusema kuwa matokeo ya ujenzi huo wa kuridhisha yametokana na usimamizi mzuri jambo linaloonyesha uwepo wa utendaji kazi wa pamoja ili kupata mradi ulio bora na unaozingatia viwango sahihi.


Aidha kamati hiyo imepongeza Uongozi wa Wilaya na Halmashauri kwa ushirikiano mzuri waliouonyesha katika usimamizi wa miradi huku ikitoa rai kwa uongozi kuwatazama kwa jicho la tatu watumishi wote wanaosimamia miradi katika ubora unaoridhisha ili iwe mfano kwa wengine.



Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Festo Mgina kwa kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Mashaka Mfaume wameishukuru Serikali ya awamu ya sita kwa fedha wanazotoa kwenye miradi huku wakiiomba TAMISEMI na Kamati hiyo kuitazama Halmashauri kwa jicho la tatu katika suala zima la watumishi hususani katika sekta ya afya kwa mustakabali wa afya za wananchi kwani waliopo ni wachache na mahitaji ni makubwa.

Tangazo

  • ORODHA-YA-ASASI-ZILIZOPATA-KIBALI-CHA-UANGALIZI-WA-UBORESHAJI-WA-DAFTARI-MWAKA-2024/2025 June 27, 2024
  • TANGAZO LA KAZI JULAI 2024 MUFINDI DC July 22, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI MUFINDI DC OKTOBA 2024 October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO YA 10% MUFINDI DC October 02, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Watendaji wa Kata na Vijiji wanolewa ukusanyaji wa kodi ya Majengo

    April 10, 2025
  • Watendaji wa kata wasisitizwa kuendelea kusimamia suala la lishe kwenye maeneo yao

    March 27, 2025
  • Watumiaji wa mfumo wa NeST wapigwa msasa Mufindi DC

    March 11, 2025
  • Milioni 758 kutekeleza miradi ya usafi na mazingira katika sekta ya afya na elimu

    March 01, 2025
  • Angalia Zote

Video

MAKALA TASAF MUFINDI KAYA MASKINI
Video Nyingine

Viungio vya Haraka

  • Muongozo wa Kutumia Mfuo wa FFRAS

Tovuti Mashuhuri

  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Watumishi Portal
  • Ajira za Utumishi
  • Ofisi ya Mkuu Mkoa wa Iringa
  • Hati ya Mishahara ya Watumishi

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

https://thesiswritingservice.net/

Location Map

Wasiliana Nasi

    Mufindi District Council Office

    Postal Address: 223 Mafinga

    Telephone: 026 - 2772614

    Mobile: 026 - 2772614

    Barua Pepe: ded@mufindidc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Onyo
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani

Copyright ©2018 Mufindi District Council. All rights reserved.